Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

Mimi natibu uhakika tunaandikishiana usipopona nakurudishia hela yako 0712505049 lak tano tu
 
Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar.

Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu na anatapeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu wanalia na sasa amekimbilia Dar. Tunaomba mamlaka husika zimsake na kumfanyia UOA hizo kama kweli ana Vivaldi na anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu maana huyu anawaliza wengi Sanawari .

Polisi ,Takukuru, Mamlaka ya Tiba Asilia na vyombo mbalimbali kazi kwenye.

Hapa chini ni ujumbe ambao amekuwa akiwatumia watu kupitia Miranda Otto mbalimbali ya kijamii.👇👇👇👇👇👇👇

Dokta maiko niko dar es salam natibu magonjwa yalioshindikana nakutangazia kwamba kuna watu wamepona ukimwi kupitia dawa zangu karibuni sana ugonjwa wa ukimwi unatibika dozi niyasiku 30


View attachment 2375148View attachment 2375149
Muonekano wake tu wa nje, unagundua hakuna daktari hapo.
 
Kwani Babu wa Loliondo alikamatwa? akina Mwamposa wanaojidai kutibu Kansa na UKIMWI amekamatwa? Yule Gwajima wa kufufua misukule feki amekamatwa?

Ndugu yangu unaishi nchi gani? Achana nae tu, atawaibia wajinga na kuwaua watakoacha kutumia ARVs.
Ndio gia yake ya kuishi mjini.Kama watu wanaamini miujiza ya kufufua wafu huyu ana kosa gani?
Mjini shule.
 
Back
Top Bottom