Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

Mimi natibu uhakika tunaandikishiana usipopona nakurudishia hela yako 0712505049 lak tano tu
 
Muonekano wake tu wa nje, unagundua hakuna daktari hapo.
 
Kwani Babu wa Loliondo alikamatwa? akina Mwamposa wanaojidai kutibu Kansa na UKIMWI amekamatwa? Yule Gwajima wa kufufua misukule feki amekamatwa?

Ndugu yangu unaishi nchi gani? Achana nae tu, atawaibia wajinga na kuwaua watakoacha kutumia ARVs.
Ndio gia yake ya kuishi mjini.Kama watu wanaamini miujiza ya kufufua wafu huyu ana kosa gani?
Mjini shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…