rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Jua ni halali na anjielewa kama hela umeipata kwa zari mkuu ni ngumu sana kukaa kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapo watu hawasumbuliwi na mihemuko ya pesa ila ni wachache sana duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jua ni halali na anjielewa kama hela umeipata kwa zari mkuu ni ngumu sana kukaa kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapo watu hawasumbuliwi na mihemuko ya pesa ila ni wachache sana duniani
Mi hua nanenepa na bafuni naanza kwenda na taulo.Wapo watu hawasumbuliwi na mihemuko ya pesa ila ni wachache sana duniani
Lakini ukisoma vizuri hiyo taarifa ya Daily nation huyo jamaa hakuwa mjinga kiasi hicho unachosema. Ndiyo maana Juma na mwenzake walipokwama wakamtafuta Hushpuppi kumaliza kazi. Hapa kilichomkamatisha jamaa ni tamaa ilizidi. Na kitendo cha kutaka kutumiwa pesa kwa mmiliki wa duka la saa wakati victim ameandika sababu za kutuma pesa ni kwa ajili ya mkopo wa ujenzi wa shule wakati pesa inaenda kwa muuza saa ilikuwa ni red flag kwa FBI.Una uwezo wa kupiga madili ya bil 600 tsh au bilioni 50 eti unafungua akaunt instagram unajianika, ushamba na upumbavu, halafu unaishi hotelini, unaacha visiwa huko vya mbali, pesa unaweka hovyo hovyo badala ya kuweka kwenye offshore accounts kama za uswisi zenye privacy kubwa sana kwa wateja, kiufupi jamaa alikua mbumbumbu. FBI wako macho hata humu mitandaoni na hivi hawapendi waafrika na hawaamin kama muafrika anaweza kua tajiri ukianza kujianika na magar ya kifahar ni kama unawabeep
Sana...ukiwa na pesa inabidi ukazeUchizi na ushamba flan wa mshiko umepoteza wengI yaanI unakuwa na wenge flan wa kutaka watu wajue una pochi
Exactly my pointLakini ukisoma vizuri hiyo taarifa ya Daily nation huyo jamaa hakuwa mjinga kiasi hicho unachosema. Ndiyo maana Juma na mwenzake walipokwama wakamtafuta Hushpuppi kumaliza kazi. Hapa kilichomkamatisha jamaa ni tamaa ilizidi. Na kitendo cha kutaka kutumiwa pesa kwa mmiliki wa duka la saa wakati victim ameandika sababu za kutuma pesa ni kwa ajili ya mkopo wa ujenzi wa shule wakati pesa inaenda kwa muuza saa ilikuwa ni red flag kwa FBI.
Maisha yake ya mitandaoni ilikuwa ni nyongeza tu, kinachoweza kukukamatisha ni how you are smart to bypass financial system without any suspicions as well the best way to engage the victim along the process of defrauding.
Kwenye international fraud ambayo kuna pua za FBI na allies wake Ulaya ukiiba hata uende wapi utakamatwa tu kama hukuwa makini kwenye process nzima ya fraud.
mkuu upo serious? nikuunganishe kwenye chama cha matapeli duniani?Kuna watu geniuses, huu utapeli wa kimataifa tena wa hela ndefu defu unaufanya hadi kuaminika kiasi kile, hapo itakua jamaa anatema yai balaa, kingereza cha kufa mtu. Hebu mtu anipe darasa na mimi niache historia fulani.
mkuu upo serious? nikuunganishe kwenye chama cha matapeli duniani?
Hawa watu wanaakili ndefu mwaka jana jamaa angu anaperuzi twitter kuna binti akamDM akijatambulisha wakaanza kutumiana picha binti anamwambia jamaa yangu kuwa yeye ni mkimbizi yupo BENIN ila kwao ni SUDAN na baba yake ameacha mali nyingi kwenye akaunti ya benki flani ya UK,jamaa akapewa task afatilie ili akifanikisha aje amfate binti BENIN ,sasa jamaa ananikubali sana kwenye michakato ya madili ya chap chap akanifata akaniba A B C za tukio zima na kuwa kapewa email ya hiyo bank ili awasiliane nao na kuwa binti ameshawataarifu watu wa ile bank ya UK kuwa huyo rafki angu ndiyo ashughulikie hizo pesa😂 kwa kuwa binti huko ukimbizini hana muda wa kutumia simu sana😂.Tukatuma email kwa hiyo bank kujitambulisha wakatuambia ni kweli kuna USD 8M zipo na next keen ni binti kweli,apo wanaume tukacheka mbona tumeula😂😂,baadae wakatuambia tuandae tuwatumie legal docs kama affidavit of oath na madude mengine kadhaa.Baada ya kupata zile taarifa tukamtumia binti email kumpa feedback kuwa atafte mtu huko aandae hivyo vitu ili tuwatumie benk kule UK ili tufanye money transfer,binti akaja kijibu baada ya siku tatu kuwa amepata ila ameambiwa alipie kama USD 1000 kupata hizo docs na kwakua yeye yupo ukimbizini hana hizo pesa ila kama tutaweza tumtumie hiyo pesa akamilishe mambo ila zile money from UK zitafikia TZ af kisha tutamtumia yeye pia atoke benin kuja TZ ili tuje tugawane zile pesa.Apo sasa jamaa angu akasema tuuze vitu vyetu ili tupate hiyo pesa ili baadae tuwe mabilionea🤣,mimi nikamkubalia shingo upande nikamwambia tukikutana tena takupa majibu, nilivyoenda home nikaanza ku search hiyo jina la bank google nikaipata nikaenda chini kwenye contacts ambapo unakuta na email zao za office pamoja na email za viongozi wa ofisi.Nikachukua zile contacts nilinganishe na emails za wale tunaowasiliana nao nikakuta kuna majina yanafanana ila zile domain name za wale jamaa wanaosema ni wa bank ya UK zinatofautiana kdgo sana na zile original nilizotoa google kimfano original yaweza kuwa Mnyatiaji@crdbtz.com ila ya wale scam inakuwa mnyatiaji@crdbtz.net .Apo nikaanza kupata wasiwasi nikakumbuka jamaa alishawahi pigiwa na huyo binti kwa normal call namba ya nje,nikamfata nikachukua zile code za nchi kuzi search google nikakuta ni za nigeria wala siyo za benin nikacheka😂😂😂 nikamwambia mzee apa tunapigwa kichapo cha mbwa koko hii ni scam maana wanaigeria siyo watu.Jamaa akawa ananibishia ila baada ya kumpa evidence alikubali na kunishukuru maana alikua anataka kwenda kuchukua mkopo kabisa akijua atakuja kuwa bilionea😂😂 ndiyo ikawa ponapona yake.Hehehe!! Kuwa mwanachama hakutoshi tu ila kuwa genius mpaka umshawishi mwarabu au sultan fulani akutumie dollars zote hizo, kumbuka bilionea kama huyo ana wasaidizi na wapambe wa kuhakiksha hatapeliwi, sasa namna unacheza na akili zao wote, yaani kha watu wana kipaji. Au labda kwa sababu bilionea akiwa na hela nyingi haoni umuhimu wa kuwa makini sana, sio kama sisi makajamba tuna uchungu wa hela kiasi kunitapeli hata buku utachoka sana.
Kunao matapeli huingia kwenye kumi na nane zangu kwa kunipigia simu baada ya kunitumia ujumbe wa mpesa, eti nizirejeshe, huwa nawapa mtihani sana....maana nitamuaminisha aone kama kweli naingia mkenge kisha namtolea nje nje kwa mitusi.
Hivi maadmin wanatutakia nn hawa mods. Nimechukiaaa[emoji23][emoji23]Miss uzi umefutwa tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima nibadilike.Kwaiyo mkuu hapo ukiwa una hela 😁😂😅aseee
Lete hekaya ya tapeli uliyemsurprise kwa u turn ya nguvuHehehe!! Kuwa mwanachama hakutoshi tu ila kuwa genius mpaka umshawishi mwarabu au sultan fulani akutumie dollars zote hizo, kumbuka bilionea kama huyo ana wasaidizi na wapambe wa kuhakiksha hatapeliwi, sasa namna unacheza na akili zao wote, yaani kha watu wana kipaji. Au labda kwa sababu bilionea akiwa na hela nyingi haoni umuhimu wa kuwa makini sana, sio kama sisi makajamba tuna uchungu wa hela kiasi kunitapeli hata buku utachoka sana.
Kunao matapeli huingia kwenye kumi na nane zangu kwa kunipigia simu baada ya kunitumia ujumbe wa mpesa, eti nizirejeshe, huwa nawapa mtihani sana....maana nitamuaminisha aone kama kweli naingia mkenge kisha namtolea nje nje kwa mitusi.
Mkuu nakuomba kabisa usikose kunitag ukileta huo uzi pleaseHawa watu wanaakili ndefu mwaka jana jamaa angu anaperuzi twitter kuna binti akamDM akijatambulisha wakaanza kutumiana picha binti anamwambia jamaa yangu kuwa yeye ni mkimbizi yupo BENIN ila kwao ni SUDAN na baba yake ameacha mali nyingi kwenye akaunti ya benki flani ya UK,jamaa akapewa task afatilie ili akifanikisha aje amfate binti BENIN ,sasa jamaa ananikubali sana kwenye michakato ya madili ya chap chap akanifata akaniba A B C za tukio zima na kuwa kapewa email ya hiyo bank ili awasiliane nao na kuwa binti ameshawataarifu watu wa ile bank ya UK kuwa huyo rafki angu ndiyo ashughulikie hizo pesa😂 kwa kuwa binti huko ukimbizini hana muda wa kutumia simu sana😂.Tukatuma email kwa hiyo bank kujitambulisha wakatuambia ni kweli kuna USD 8M zipo na next keen ni binti kweli,apo wanaume tukacheka mbona tumeula😂😂,baadae wakatuambia tuandae tuwatumie legal docs kama affidavit of oath na madude mengine kadhaa.Baada ya kupata zile taarifa tukamtumia binti email kumpa feedback kuwa atafte mtu huko aandae hivyo vitu ili tuwatumie benk kule UK ili tufanye money transfer,binti akaja kijibu baada ya siku tatu kuwa amepata ila ameambiwa alipie kama USD 1000 kupata hizo docs na kwakua yeye yupo ukimbizini hana hizo pesa ila kama tutaweza tumtumie hiyo pesa akamilishe mambo ila zile money from UK zitafikia TZ af kisha tutamtumia yeye pia atoke benin kuja TZ ili tuje tugawane zile pesa.Apo sasa jamaa angu akasema tuuze vitu vyetu ili tupate hiyo pesa ili baadae tuwe mabilionea🤣,mimi nikamkubalia shingo upande nikamwambia tukikutana tena takupa majibu, nilivyoenda home nikaanza ku search hiyo jina la bank google nikaipata nikaenda chini kwenye contacts ambapo unakuta na email zao za office pamoja na email za viongozi wa ofisi.Nikachukua zile contacts nilinganishe na emails za wale tunaowasiliana nao nikakuta kuna majina yanafanana ila zile domain name za wale jamaa wanaosema ni wa bank ya UK zinatofautiana kdgo sana na zile original nilizotoa google kimfano original yaweza kuwa Mnyatiaji@crdbtz.com ila ya wale scam inakuwa mnyatiaji@crdbtz.net .Apo nikaanza kupata wasiwasi nikakumbuka jamaa alishawahi pigiwa na huyo binti kwa normal call namba ya nje,nikamfata nikachukua zile code za nchi kuzi search google nikakuta ni za nigeria wala siyo za benin nikacheka😂😂😂 nikamwambia mzee apa tunapigwa kichapo cha mbwa koko hii ni scam maana wanaigeria siyo watu.Jamaa akawa ananibishia ila baada ya kumpa evidence alikubali na kunishukuru maana alikua anataka kwenda kuchukua mkopo kabisa akijua atakuja kuwa bilionea😂😂 ndiyo ikawa ponapona yake.
Nyogeza:kuna kisa kingine cha BLACK MONEY au wanaijeria wanaita faymanism kilimkuta ndugu yangu december mwaka jana yani isingekua mimi kusoma uzi wa fayman humu jf kaka yangu na crew za rafki zake wangechapwa pesa mnoo nikikaa vizuri taleta uzi wake
Hawa watu wanaakili ndefu mwaka jana jamaa angu anaperuzi twitter kuna binti akamDM akijatambulisha wakaanza kutumiana picha binti anamwambia jamaa yangu kuwa yeye ni mkimbizi yupo BENIN ila kwao ni SUDAN na baba yake ameacha mali nyingi kwenye akaunti ya benki flani ya UK,jamaa akapewa task afatilie ili akifanikisha aje amfate binti BENIN ,sasa jamaa ananikubali sana kwenye michakato ya madili ya chap chap akanifata akaniba A B C za tukio zima na kuwa kapewa email ya hiyo bank ili awasiliane nao na kuwa binti ameshawataarifu watu wa ile bank ya UK kuwa huyo rafki angu ndiyo ashughulikie hizo pesa😂 kwa kuwa binti huko ukimbizini hana muda wa kutumia simu sana😂.Tukatuma email kwa hiyo bank kujitambulisha wakatuambia ni kweli kuna USD 8M zipo na next keen ni binti kweli,apo wanaume tukacheka mbona tumeula😂😂,baadae wakatuambia tuandae tuwatumie legal docs kama affidavit of oath na madude mengine kadhaa.Baada ya kupata zile taarifa tukamtumia binti email kumpa feedback kuwa atafte mtu huko aandae hivyo vitu ili tuwatumie benk kule UK ili tufanye money transfer,binti akaja kijibu baada ya siku tatu kuwa amepata ila ameambiwa alipie kama USD 1000 kupata hizo docs na kwakua yeye yupo ukimbizini hana hizo pesa ila kama tutaweza tumtumie hiyo pesa akamilishe mambo ila zile money from UK zitafikia TZ af kisha tutamtumia yeye pia atoke benin kuja TZ ili tuje tugawane zile pesa.Apo sasa jamaa angu akasema tuuze vitu vyetu ili tupate hiyo pesa ili baadae tuwe mabilionea🤣,mimi nikamkubalia shingo upande nikamwambia tukikutana tena takupa majibu, nilivyoenda home nikaanza ku search hiyo jina la bank google nikaipata nikaenda chini kwenye contacts ambapo unakuta na email zao za office pamoja na email za viongozi wa ofisi.Nikachukua zile contacts nilinganishe na emails za wale tunaowasiliana nao nikakuta kuna majina yanafanana ila zile domain name za wale jamaa wanaosema ni wa bank ya UK zinatofautiana kdgo sana na zile original nilizotoa google kimfano original yaweza kuwa Mnyatiaji@crdbtz.com ila ya wale scam inakuwa mnyatiaji@crdbtz.net .Apo nikaanza kupata wasiwasi nikakumbuka jamaa alishawahi pigiwa na huyo binti kwa normal call namba ya nje,nikamfata nikachukua zile code za nchi kuzi search google nikakuta ni za nigeria wala siyo za benin nikacheka😂😂😂 nikamwambia mzee apa tunapigwa kichapo cha mbwa koko hii ni scam maana wanaigeria siyo watu.Jamaa akawa ananibishia ila baada ya kumpa evidence alikubali na kunishukuru maana alikua anataka kwenda kuchukua mkopo kabisa akijua atakuja kuwa bilionea😂😂 ndiyo ikawa ponapona yake.
Nyogeza:kuna kisa kingine cha BLACK MONEY au wanaijeria wanaita faymanism kilimkuta ndugu yangu december mwaka jana yani isingekua mimi kusoma uzi wa fayman humu jf kaka yangu na crew za rafki zake wangechapwa pesa mnoo nikikaa vizuri taleta uzi wake
Denmark ukiingiza 26,000 DKK ambayo ni kama dollars 3000-4000 red flag inatokea unaanza kufuatiliwa. Basic salary ni kama dollars 2000. Hawa watu hawana mchezo na hela chafu hata kama kidogo.Red flag [emoji626] za kujitakia
Yaani mwizi utamjua tu anapoanza kujianika kwa mbwembwe kwenye mitandao na kuonyesha magari ya kifahari ghafla tu bila kuwa na historia yeyote ya biashara
Lazima udakwe tu kwa ujinga
Usipate shakaMkuu nakuomba kabisa usikose kunitag ukileta huo uzi please
Denmark ukiingiza 26,000 DKK ambayo ni kama dollars 3000-4000 red flag inatokea unaanza kufuatiliwa. Basic salary ni kama dollars 2000. Hawa watu hawana mchezo na hela chafu hata kama kidogo.
Halafu hii ya kuandika sababu ya nini unatuma pesa mara ya kwanza nilionaga ni utani utani haina maana hadi siku moja tulijikuta tukihojiwa mimi na rafiki yangu kutoka Gambia anapenda mzaha na matani alinitumia hela siyo nyingi kama euro 50 hivi equivalent na kuandika sababu ya kutuma 'for the bomb' walitusummon majamaa.
Pia kuna utapeli flan ulifanywa na watu kutoka eastern European wenyewe wakaprint bills tuseme kama bills invoices za umeme wakawa wanaposti kwenye mails za watu halafu idadi ya hela siyo nyingi equivalent kama dollars 30 na ni maelfu ya bills na watu wakawa wanalipa tu kwenye account zao ila walishikwa hiki kitu kilinishangazaga sana
Halafu naskia hawa Eastern Europeans hasa Lithuanian na Latvians wengi sana Uingereza wana watapeli sana pensioners kwenye ma ATMsKwanza pole kwa huyo rafiki yako kuandika sababu ya kutuma [emoji378]
Ni kujaribu kuwa beep hao jamaa maana wapo makini sana
Kuhusu hao Eastern Europe ni balaa kwa fraud
Kila leo wanakuja na mbinu mpya ni zaidi ya Nigerians