Tapeliwa na wote lakini sio kutapeliwa na mtu unayemuita rafiki inauma sana

Rafiki wa kimatumbi akinikopa najua ananitapeli tu huwa nampa kama ninayo ila namwambia nimekupa tu ndugu yangu ili mradi isidizi dollar 1000 tu .
 
Hujafanya kitu kibaya, kwa sababu ulifanya kwa wema tu.Mungu atakulipa zaidi na zaidi.
 
Rafiki yangu tuliesoma nae kuanzia shule ya msingi hadi sekondari nilimkopesha, kwenye kulipa akawa ananipiga tarehe tu miaka sasa nilishaachaga na kumdai na mimi nimejifanya kusahau kama namdai na tunaendelea na urafiki wetu tu, lakini akipata shida hata kama anataka kufa sitarudia kosa tena la kumkopesha acha afe tu
 
Wewe hamnazo huko kichwani.! Acha upuuzi upuuzi wa huruma, dunia imekengeuka,,,, yani umefuga mijitu mizima na hela ikakupiga,,,,mjinga ni wewe wala sio wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…