begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
pole sana hata ndugu sio wa kuwaamin pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeongea vyema saana aisee [emoji109]Washkaji wamesha nikwamisha sanaa wengine wamesha ni save Sanaa Mpaka najiona mzigo kwao
Lazima kuwe na kushoto na kulia, usiku na mchana, mbele na nyuma, nzuri au mbaya
Rafiki mseng* mseng* utamjua tu kwenye story za hapa na pale
Au waache tu wale ubwabwaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 basi sawa, nitakutajia.
sanHuu ujumbe nimeusoma na kuuelewa sana Mzee pole hizi ni situation tu mkuu unakuta ata MWENYEZI MUNGU akupitishe tu uone je Hao ulionao ni sahihi, Hao marafiki tunasema ni masnich, matapeli, na ni wauwaji asee pengine ata ni majabawazi
#maana yakukua sio wingi wamiaka ulionayo_ok sawa kwaio ww unaweza mkopesha mzazi wako ..? maana mm nimesema mzazi hakopeshwi ukapinga kwaio ww unaweza fanya hivyo..?Mkuu nipo na 30 kiongozi au bado hapo sijakua na Sina mzazi ata mmoja unajua Nini natamani na wengine wakiwa wanacho
Mimi na mzazi wangu (mama) tunakopeshana sana pesa nikikwama namkopa,akikwama ananikopa. Tofautisha pesa ya kumpa na pesa ambayo ipo kwenye mzunguko wako wa biashara na yeye anajua hilo ukimkopesha anarudisha vizuri tu maana na yeye hapendi kukukwamisha mipango yako.#maana yakukua sio wingi wamiaka ulionayo_ok sawa kwaio ww unaweza mkopesha mzazi wako ..? maana mm nimesema mzazi hakopeshwi ukapinga kwaio ww unaweza fanya hivyo..?
1) - hio iko pande mbili kwanza mzazi ukimkopesha kukurudishia pesa yako ningumu . huwa ukiaanza kudai chako wao wanaanza kuhesabu mambo waliokufanyia mwisho unajikuta unasamehe deni kishingo upande japo mwanzo alikufata kwalengo lakukopa
2)_ww kama mtoto mzazi wako anashida yapesa uwezo unao kwann umkopeshe ..? nazan ushaelewa kwann tunasema kwaujumla mzazi hakopeshwi