Tapeliwa na wote lakini sio kutapeliwa na mtu unayemuita rafiki inauma sana

Tapeliwa na wote lakini sio kutapeliwa na mtu unayemuita rafiki inauma sana

Dk.remy ongara aliimba wema k.u.m.a.n.y.o.k.o.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Binafsi ni ngumu sana kumuamini rafiki tuliepotezana muda mrefu.
Mambo no mengi, watu hubadilika.

Kuna jamaa nilisoma nae, skuli alikua ni kada wa chadema dam dam, humwambii kitu kuhusu chadema. Yeye na familia yake wote ni wazee wa "Mbowe mitano tena" juzi kati nakutana nae ni mjumbe wa UVCCM na ana cheo kizuri tu ule mkoa aliopo.
😀😃😃
 
Hata hufananii🤣🤣
Nakabia kwa juu , wewe wataje hao digidigi tu.
20250104_145802.jpg
 
Huu ujumbe nimeusoma na kuuelewa sana Mzee pole hizi ni situation tu mkuu unakuta ata MWENYEZI MUNGU akupitishe tu uone je Hao ulionao ni sahihi, Hao marafiki tunasema ni masnich, matapeli, na ni wauwaji asee pengine ata ni majabawazi
 
Pole sana ndugu,uzuri wamekuacha salama.
Kuna wengine wapo central na jail juu.
Hivyo shukuru Mungu umehitimu Sasa chuo.
Huyo ni rafiki,bado Adili na Nduguze.
 
Back
Top Bottom