Tapeliwa na wote lakini sio kutapeliwa na mtu unayemuita rafiki inauma sana

Dk.remy ongara aliimba wema k.u.m.a.n.y.o.k.o.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
🀣🀣🀣🀣🀣 shindikana wananionea sana. Huu mwana sicheki na wowote!
Shindikanaa wakikuonea usisite kuniambia 😊😊
 
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Huu ujumbe nimeusoma na kuuelewa sana Mzee pole hizi ni situation tu mkuu unakuta ata MWENYEZI MUNGU akupitishe tu uone je Hao ulionao ni sahihi, Hao marafiki tunasema ni masnich, matapeli, na ni wauwaji asee pengine ata ni majabawazi
 
Pole sana ndugu,uzuri wamekuacha salama.
Kuna wengine wapo central na jail juu.
Hivyo shukuru Mungu umehitimu Sasa chuo.
Huyo ni rafiki,bado Adili na Nduguze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…