Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu


Huna lolote unalolijua,tena kuhusu middle east huna unalojua kbs.
This time around consequences hata hao the so called Taifa la Mungu wanazipata.

Testing the sweetness of their own medicine...
 
Ijaribu ione,huyo gwajima fyoko fyoko zake kiko wapi sasa.??

Anataka kuitingisha serikali anadhani hapa ni Jerusalem au Vatican.?

Mwehu yule
Ijaribu kufanya nini? Kwani Serikali inashindana na Kanisa? TEC wametoa tu kautaratibu kao simple sana, sasa mmekurupuka huko kama ngiri kwenye mashimo. Kama mna shida na huo waraka, waiteni muwaulize.
 
Mbona kwetu misikitini hakuna platform ya wanasiasa kujinadi na mambo yanakwenda? Hata zamani kwenye makanisa hii platform haikuwepo,huenda kumekuwa na kipindi cha kukengeuka kwa maaskofu na sasa wamejitambua.Nawapa maua yangu.
 
Ijaribu kufanya nini? Kwani Serikali inashindana na Kanisa? TEC wametoa tu kautaratibu kao simple sana, sasa mmekurupuka huko kama ngiri kwenye mashimo. Kama mna shida na huo waraka, waiteni muwaulize.
TUwaulize wao kama nani?

Wao kama wanaona serikali kero kwao,wateme na hizo fedha wanazokinga kila mwaka wahuni hao
 


Kikao chenu mmemaliza Naona mmekuja kwa speed kujaza server za mitandao
 
Wewe acha hizo hao wametoa walaka ili makanisa yasitumike kwa mambo ya ovyo ovyo. Pia pilipili uso ila yakuwashia nini?? Ya Ngoswe mwachie Ngoswe Asante Mungu kwa msimamo usopinda kwa maaskofu. Maaskofu hawaja kurukupa kutoa walaka.
 
Mmepanga lini kuwaua?
 
TUwaulize wao kama nani?

Wao kama wanaona serikali kero kwao,wateme na hizo fedha wanazokinga kila mwaka wahuni hao
Wanyimeni tu hizo pesa muone kama kanisa halitaendelea. Kwani mlipowanyima Chadema Ruzuku ilikufa? Mlipoona ndo kwanza wananchi wanazidi kuwaunga mkono mkaona muwapige Ban kabisa. So hata katoliki lina wafuasi wa kutosha sana, wataendelea kutoa sadaka na michango ya kutosha tuu.
 
Wewe acha hizo hao wametoa walaka ili makanisa yasitumike kwa mambo ya ovyo ovyo. Pia pilipili uso ila yakuwashia nini?? Ya Ngoswe mwachie Ngoswe Asante Mungu kwa msimamo usopinda kwa maaskofu. Maaskofu hawaja kurukupa kutoa walaka.
Kama wana misimamo waambie waache kushrikiana na serikali kuchota fedha za walalahoi kwa gia ya MOU
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reforms no election.
 
Kwa michango tuh aaah mko vizuri...

Mkitoka kuiba fedha za umma huko serikalini mnakimbilia makanisani kutoa sadaka,hovyo kabisa.

Remember sakata la Escrow?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…