stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Ndoa ya mdogo wangu imevunjika (ameachana/kutengana na mke wake),jamani sasa yeye ni mkristo na ndoa kikristu hiavunjiki ila anataka kutoa talaka kwa kufuata sheria za mahakama,tunaomba mtusaidie utaratibu ukoje kwa wanaojua hii sheria,maana mali zote walizochuma amemuachia mkewe yeye amebaki na watoto ambao wako over seven years ila kibaya mwanamke anamsumbua kwa kashfa na matusi!