Taratibu za Divorce

Taratibu za Divorce

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,216
Reaction score
26,225
Ndoa ya mdogo wangu imevunjika (ameachana/kutengana na mke wake),jamani sasa yeye ni mkristo na ndoa kikristu hiavunjiki ila anataka kutoa talaka kwa kufuata sheria za mahakama,tunaomba mtusaidie utaratibu ukoje kwa wanaojua hii sheria,maana mali zote walizochuma amemuachia mkewe yeye amebaki na watoto ambao wako over seven years ila kibaya mwanamke anamsumbua kwa kashfa na matusi!
 
kuna mambo macahache sana yanayoweza kuvunja ndoa kwa waislam ama kutenganisha wanandoa kwa wakristo, mambo hayo ni cruerity, adultery na disertion. Kama ndoa iyo imekumbwa na sababu moja wapo ya hizo, mlalamikaji anapaswa kuwa na ushahidi wa kutosha ambapo wanandoa watasuluhishwa lakini inaposhindikana wakristo hupata separation na mgao wa kila mmoja kwa mali ambazo walizichuma WOTE. Na hapo ndipo kunakua na end of being together.
 
Mahakama inavunja ndoa ambazo hazi wezi rekebishika tu. Kuthibitisha kuwa ndoa haiwezi rekebishika sio kazi ndogo. Ingawa kwa macho ambayo sio ya kisheria yanaweza kuona jambo ndogo.
Tafuta statute inayo itwa law of marriage Act na PCCP hii inapatikana juma ya MCA.
Vitakusaidieni.
 
kama kweli alifunga nae ndoa hamna haja ya kuivunja yeye apotee kimya kimya na mali amuachie tu hapa duniani tunapita tu
 
Back
Top Bottom