Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hii line leseni yake ni tofauti na leseni ya line za uwakala.hii lipa ni kwa ajili ya biashara za maduka,vinywaji etc na sio uwakalaHabari wakuu. Nipo mbali na ofisi za hii mitandao. Naomba kujua taratibu za kampuni kupata namba za lipa kwa mpesa/tigopesa. Natanguliza shukrani.
Wahuni wameshaanza kukata.Ukiwa na leseni,Tin,Tax Clearance na Bank account inatosha.Ya Tigo Pesa ndo iko vizuri kwa sasa wanaovosema wengine
Hivyo ni kwa wale wanaokwepa makato ya mpesa au tigo pesa lakini kama unalipa bidhaa ni free mandelaSiku hizi naona mawakala nao wamekuwa wajanja sana,ukienda kutoa pesa wanakwambia usiingie kwenye toa pesa,ingia lipa kwa Tigo Pesa/M-Pesa, andika kiasi flani,kama una elfu 63 wanakwambia andika elfu 62 halafu hapo wewe anakukabidhi elfu 59