R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Sep 11, 2024 #1 Mwenye kufahamu process za kubadiri matumizi ya ardhi anielimidhe please. Unapitia hatua zipi/
Z Zombie Sikutaji Humu Eeh JF-Expert Member Joined Jul 2, 2024 Posts 228 Reaction score 667 Sep 11, 2024 #2 Sasa hizo nazo ni tetesi
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Sep 11, 2024 Thread starter #3 Zombie Sikutaji Humu Eeh said: Sasa hizo nazo ni tetesi Click to expand... Blocked
B BALENSIAGA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2019 Posts 3,353 Reaction score 5,800 Sep 11, 2024 #4 Lete hela tukuelekeze
Waka Waka JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 1,333 Reaction score 2,076 Sep 11, 2024 #5 All the best
pombe kali JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 282 Reaction score 561 Sep 11, 2024 #6 Unataka kubadili kutoka makazi kwenda biashara? Ama biashara kwenda makazi, ama eneo la uma kwenda makazi? Ni dm manake hii ni consultation ambayo ntafanya bure...kisha ntakuongoza hatua za kufuata
Unataka kubadili kutoka makazi kwenda biashara? Ama biashara kwenda makazi, ama eneo la uma kwenda makazi? Ni dm manake hii ni consultation ambayo ntafanya bure...kisha ntakuongoza hatua za kufuata