Taratibu za kuingia Zambia

Kuna ile pass ndogo ambayo kama una 50 elfu ya chapchap kishoka anakuletea hadi Nyumbani.

Mambo yamezidi kurahisishwa na Serikali yetu sikivu ya Bi Samia.
Nataka kishoka anisaidie nipate pass kabisa kwa mda mfupi (atleast 4 days). Ninayo pass ya zamani ambayo inahitaji kubadilishwa
 
Vijana wa sahv mkitaka kusafiri
Mnauliza maswali mengi,mmeja uwoga mbona ......

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…