Good mzee babaUnatakiwa kuingia mtandao wa uhamiaji, www.immigration.go.tz/ppt_application jaza fomu hapo kisha lipia elfu 20 ndio fomu itadownlodika.
Ukipata fomu, chukua cheti chako cha kuzaliwa, cheti cha kuzaliwa cha mmoja wa wazazi au kiapo cha mzazi cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa, barua ya maombi ya pasipoti na mwisho ni uthibitisho wa safar. Kumbuka kuwa pasipoti ni haki ya kila mtu ila vigezo vya kuipata ni viwili tu, uwe raia waa Tanzania na unahitaji kusafiri nje ya nchi, vigezo vinathibitishwa kwa nyaraka ulizotajiwa hapo juu. C&P toka Facebook.com/uhamiajitanzania
Kitambuliaho cha Taifa na cheti cha kuzaliwa. Kama huna hivi vitu usiendeSo hizi ID zingine watasumbua sana au?
Mfano Driving licence?
DAAAH MIMI SINA KITAMBULISHO CHA TAIFA HAKUNA OPTION NYINGINE UKIWA HUNA I.D YA TAIFAmzee baba hakikisha una kitambulisho cha taifa kwanza ndipo ufuate hayo maelekezo hapo juu
ukikosa national id imekula kwako, mimi nilichelewa kupata hiyo id ilibidi niende tra niombe upya na nilijaza form ya uraia ndipo nikapata kitambulisho but nilijiongezaSo hizi ID zingine watasumbua sana au?
Mfano Driving licence?
hapo juu mkuuukikosa national id imekula kwako, mimi nilichelewa kupata hiyo id ilibidi niende tra niombe upya na nilijaza form ya uraia ndipo nikapata kitambulisho but nilijiongeza
DAAAH MIMI SINA KITAMBULISHO CHA TAIFA HAKUNA OPTION NYINGINE UKIWA HUNA I.D YA TAIFA
huu ni ukweli, mimi nilienda hadi kwa kamishina lkn alihimiza nipate kitambulisho ndipo nirudi kuombaKitambuliaho cha Taifa na cheti cha kuzaliwa. Kama huna hivi vitu usiende
Daah mambo yamebadilika sana Mimi nilipata kwa tsh elfu 50..sema nilifanya urafiki na jmaa mmoja wa migration mambo yakaenda vizur bila kutoa rushwa. Ndani ya wiki 3 nikawa nimepata..it was back 2014 those daysMahitaji;
1. Kitambulisho cha taifa
2. Barua ya mwajiri/
3. Leseni ya biashara kama umejiri/kampuni
4. Andika/andikiwa barua ya maombi ukieleza sababu za safari zako/nchi utakazozitembelea
Maombi ya awali yanaanzia kwenye tovuti ya uhamiaji na utalipia 20k
Jumla ya gharama ni 150k
wengine waongezee
Hivyo ndio vigezo vikuu. Hati za wazazi unazipata pale pale kwa wanasheria.huu ni ukweli, mimi nilienda hadi kwa kamishina lkn alihimiza nipate kitambulisho ndipo nirudi kuomba
hapo nilijiongeza ndo napopataka yani bongo bila kujiongeza hovyooukikosa national id imekula kwako, mimi nilichelewa kupata hiyo id ilibidi niende tra niombe upya na nilijaza form ya uraia ndipo nikapata kitambulisho but nilijiongeza
mkuu ilikuwa kitambo, sasa tuko pasi ya kusafiria ya kieletronikiDaah mambo yamebadilika sana Mimi nilipata kwa tsh elfu 50..sema nilifanya urafiki na jmaa mmoja wa migration mambo yakaenda vizur bila kutoa rushwa. Ndani ya wiki 3 nikawa nimepata..it was back 2014 those days
niwe mkweli tu zilinitoka japo najua ni haki yangu lkn niligonga mwamba hadi nilipojiongeza, anayesema hakuna rushwa anajidanganya, awamu hii rushwa ni nzito zaidi ama utoe au ukose huduma.hapo nilijiongeza ndo napopataka yani bongo bila kujiongeza hovyoo
Hizi za sasa ni zakielectonic. Ziko poa sana. Tatizo ni kule kuzungushwa kama vigezo havijatimia. Unaweza enda na documents zako wakahitaji na kitu kingine. Siku ya kwanza nenda kama kuhakiki je umetimiza mashartiDaah mambo yamebadilika sana Mimi nilipata kwa tsh elfu 50..sema nilifanya urafiki na jmaa mmoja wa migration mambo yakaenda vizur bila kutoa rushwa. Ndani ya wiki 3 nikawa nimepata..it was back 2014 those days
DUUUH HII AWAMU KILA KITU RUSHWA TENA MTU ANAKAZA KABISA ACHA DIKU NKACHUNGULIR MAZINGIRA YAKOJE LAKIN NATAKA NIPATE I.D YA TAIFA KIMAFEKECHEniwe mkweli tu zilinitoka japo najua ni haki yangu lkn niligonga mwamba hadi nilipojiongeza, anayesema hakuna rushwa anajidanganya, awamu hii rushwa ni nzito zaidi ama utoe au ukose huduma.
Huwezi amini niliojiandikisha nao oktoba 2017 hadi leo hawana kitambulisho
Passport ni haki ya kila raia.Kama sisafiri sistahili kua na passport??
kama upo dar ni fasta lkn mfuko wa shati uwe umefungukaDUUUH HII AWAMU KILA KITU RUSHWA TENA MTU ANAKAZA KABISA ACHA DIKU NKACHUNGULIR MAZINGIRA YAKOJE LAKIN NATAKA NIPATE I.D YA TAIFA KIMAFEKECHE
DAAH KWELI SUBIR NIANDAE NA NYANYA KABISA NEXT WEEK NIZUKE NIDAkama upo dar ni fasta lkn mfuko wa shati uwe umefunguka
Hahaaha..enzi za mkwere...Daah mambo yamebadilika sana Mimi nilipata kwa tsh elfu 50..sema nilifanya urafiki na jmaa mmoja wa migration mambo yakaenda vizur bila kutoa rushwa. Ndani ya wiki 3 nikawa nimepata..it was back 2014 those days
Permanent broPassport gani unaitaka?ya muda ile au ile permanent (10yrs)?