verses fountain
Senior Member
- Sep 30, 2018
- 155
- 195
- Thread starter
- #41
Hahahahaa...DAAH KWELI SUBIR NIANDAE NA NYANYA KABISA NEXT WEEK NIZUKE NIDA
Ila kwa jinsi maisha yamechange kila kitu lazima ufuatilie mwenyew ukiwa na kaextra cash kibongo wanaita rushwa wazungu wanaita motivation...