The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Inachukua muda gani kuipata baada ya form kui print, je kuna viambatanisho vyovyote unatakiwa uwe navyo hapo ofisini kwa uhamiaj wakat unakusanya iyo form ...msaada kwa anayejua
Habari jf members..naomba msaada wenu kwenye process jinsi ya kupata passport na gharama zake mwanzo mwisho mpaka kuipata.. Asanten
kibiasharaUnaitaka kwa Matumizi gani?
Biashara?
Kikazi?
Kidini?
Utalii?
Jibu hapo kwanza ndio tuendelee
Akikujibu nitagkibiashara
kibiashara
Hvi Hz passport kila mkoa zinatolewa au ni DSM tu?
nashukuru sanaEKM Baada ya kujaza zile Form online hakikisha una Copy ya TIN Number na Leseni ya Biashara
Barua ya maombi ( kama hujui pale HQ Kurasini kuna stationary 1,500)
Barua ya Afisa Mtendaji
Birth Certificate ya Mwombaji
Birth Certificate ya Baba/ Affidavit ( includes Stamp Duty)
NIDA ID copy
Hakikisha pale kwenye Form Section 9 pamesainiwa na Advocates kama Bado andaa hela wapo pale pale
Hizo Attachment/ Documents hakikisha unaenda na Original na Copy
Hakikisha unajaza hizo form online kwa usahihi na kuprint kabisa
Uwe na 150,000/= Tshs cash (20,000 utalipa wakati unajaza Form 130,000/= Tshs utalipia pale pale)
Anzia hivyo kwanza ukikamilisha useme
Hakuna longolongo mpaka utimize hivyo vyote
Kama kila Document iko sawa na Form umejaza kwa usahihi just 3 hours umeshamaliza pale HQ
Unapewa tarehe ya kwenda kuchukua pale Posta Wizara ya Mambo ya Ndani.
Haihitaji connection wala kujuana na Mtu ili uhudumiwe in just 3 hours na kupata in 7 working Days
Tayari jibu limetoka #Mr.MangiEKM Baada ya kujaza zile Form online hakikisha una Copy ya TIN Number na Leseni ya Biashara
Barua ya maombi ( kama hujui pale HQ Kurasini kuna stationary 1,500)
Barua ya Afisa Mtendaji
Birth Certificate ya Mwombaji
Birth Certificate ya Baba/ Affidavit ( includes Stamp Duty)
NIDA ID copy
Hakikisha pale kwenye Form Section 9 pamesainiwa na Advocates kama Bado andaa hela wapo pale pale
Hizo Attachment/ Documents hakikisha unaenda na Original na Copy
Hakikisha unajaza hizo form online kwa usahihi na kuprint kabisa
Uwe na 150,000/= Tshs cash (20,000 utalipa wakati unajaza Form 130,000/= Tshs utalipia pale pale)
Anzia hivyo kwanza ukikamilisha useme
Hakuna longolongo mpaka utimize hivyo vyote
Kama kila Document iko sawa na Form umejaza kwa usahihi just 3 hours umeshamaliza pale HQ
Unapewa tarehe ya kwenda kuchukua pale Posta Wizara ya Mambo ya Ndani.
Haihitaji connection wala kujuana na Mtu ili uhudumiwe in just 3 hours na kupata in 7 working Days
Mkuu unaishi hapa Tz au unaandika kutokea kwa "mabeberu"EKM Baada ya kujaza zile Form online hakikisha una Copy ya TIN Number na Leseni ya Biashara
Barua ya maombi ( kama hujui pale HQ Kurasini kuna stationary 1,500)
Barua ya Afisa Mtendaji
Birth Certificate ya Mwombaji
Birth Certificate ya Baba/ Affidavit ( includes Stamp Duty)
NIDA ID copy
Hakikisha pale kwenye Form Section 9 pamesainiwa na Advocates kama Bado andaa hela wapo pale pale
Hizo Attachment/ Documents hakikisha unaenda na Original na Copy
Hakikisha unajaza hizo form online kwa usahihi na kuprint kabisa
Uwe na 150,000/= Tshs cash (20,000 utalipa wakati unajaza Form 130,000/= Tshs utalipia pale pale)
Anzia hivyo kwanza ukikamilisha useme
Hakuna longolongo mpaka utimize hivyo vyote
Kama kila Document iko sawa na Form umejaza kwa usahihi just 3 hours umeshamaliza pale HQ
Unapewa tarehe ya kwenda kuchukua pale Posta Wizara ya Mambo ya Ndani.
Haihitaji connection wala kujuana na Mtu ili uhudumiwe in just 3 hours na kupata in 7 working Days
Mkuu unaishi hapa Tz au unaandika kutokea kwa "mabeberu"
Nilimesubmit application yangu hapo uhamiaji. Walikagua vitu vyote na waniambia nitataarifiwa baada ya wiki moja. Ilipita wiki mbili hola, nikafuatilia mpaka mwezi hola. Nikacheki na jamaa yangu fulani akanipa connection, nikajiongeza baada ya siku 5 nikapata. Its just a way of life, no offense mkuu.Yaleyale [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa nini unasema hivo mkuu
Nilimesubmit application yangu hapo uhamiaji. Walikagua vitu vyote na waniambia nitataarifiwa baada ya wiki moja. Ilipita wiki mbili hola, nikafuatilia mpaka mwezi hola. Nikacheki na jamaa yangu fulani akanipa connection, nikajiongeza baada ya siku 5 nikapata. Its just a way of life, no offense mkuu.
EKM Baada ya kujaza zile Form online hakikisha una Copy ya TIN Number na Leseni ya Biashara
Barua ya maombi ( kama hujui pale HQ Kurasini kuna stationary 1,500)
Barua ya Afisa Mtendaji
Birth Certificate ya Mwombaji
Birth Certificate ya Baba/ Affidavit ( includes Stamp Duty)
NIDA ID copy
Hakikisha pale kwenye Form Section 9 pamesainiwa na Advocates kama Bado andaa hela wapo pale pale
Hizo Attachment/ Documents hakikisha unaenda na Original na Copy
Hakikisha unajaza hizo form online kwa usahihi na kuprint kabisa
Uwe na 150,000/= Tshs cash (20,000 utalipa wakati unajaza Form 130,000/= Tshs utalipia pale pale)
Anzia hivyo kwanza ukikamilisha useme
Hakuna longolongo mpaka utimize hivyo vyote
Kama kila Document iko sawa na Form umejaza kwa usahihi just 3 hours umeshamaliza pale HQ
Unapewa tarehe ya kwenda kuchukua pale Posta Wizara ya Mambo ya Ndani.
Haihitaji connection wala kujuana na Mtu ili uhudumiwe in just 3 hours na kupata in 7 working Days
mmmh ipo yakufikia huko kweli?
kama sijakosea mwisho ni miaka niliyotaja...sina uhakika sana
hati ya kiapo unaipataje?Mahitaji;
1. Kitambulisho cha taifa
2. Barua ya mwajiri/
3. Leseni ya biashara kama umejiri/kampuni
4. Andika/andikiwa barua ya maombi ukieleza sababu za safari zako/nchi utakazozitembelea
5. Cheti cha kuzaliwa/hati ya kiapo
6. Cheti cha kuzaliwa cha mzazi mmoja/hati ya kiapo
Maombi ya awali yanaanzia kwenye tovuti ya uhamiaji na utalipia 20k
Jumla ya gharama ni 150k
wengine waongezee
ushasafiri?Nimeipata kwa siku 12 tangu niwasilishe maombi
Nenda kwa wakili ndugu yanguhati ya kiapo unaipataje?
nimekupata.how much shillings?Nenda kwa wakili ndugu yangu