Mvumilivumie
Member
- Apr 16, 2015
- 64
- 75
ahsanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana mkuu!! nenda mahakamani ufungue shauri
Ahsante kwa ushauri wako.Mpeleke kwao akapumzike angalau miezi sita kwanza ili utafakari upya.
Pole sana hawa si watu wema kabisa
Kabla ya mahakamani, anza kwenda baraza la usuluhishi la ndoa (marriage reconciliation board)!
Tatizo lako kubwa humridhishi unyumba.
hayo yote uliyoeleza ni matatizo ya kukosa unyumba unaohitajika.
Jichunguze, upo chini ya kiwango. Ukizidisha kiwango kikamfikisha atakapo kufika huyo mkeo basi hiyo ndiyo solution ya ya pekee ya yote hayo, hutosikia tena tusi kutoka kwa mkeo.
Mwanammke hata uwe na mali za dunia kama haumridhishi basi ni bora usepe tu. Hakuna solution.
Ahahaha,shikamoo mama!
kama vp, aje umfunde jinsi ya kumfikisha mwanamke mbingu ya tisa!ahahaha
Hilo nililompa ni fundisho tosha kabisa kwa mwenye kufikiri.
The Don,
Ahsante sana kwa ushauri mzuri. Vipi lakini, je process mpaka kukamilika kwenye usuluishi wa ndoa inaweza ikachukua muda gani na hata process ya talaka Mahakamani pia inaweza kuchukua muda gani mpaka talaka inatolewa?
inategemea na mwenendo wa mashauri Mkuu,huchukua mda mfupi pale upande mmoja ukataapo kataa kujitokeza baada ya kupewa summons hivo Ex parte decision hutolewa ikiwekwa ktk hiyo certicate,endapo pande zote zimetokea usikilizwaji huendelea kwa kuwasikiliza pamoja ambapo husaidia kumaliza tofauti zenu ikishindikana ndipo hutolewa hiyo certificate ambayo utaenda nayo kufungulia shauri mahakamani,mahakama itasikiliza shauri kwa makini kutegemea kama pande zote zimejitokeza pia,km upande mmoja ndo umejitokeza yaweza sikilizwa Ex parte na judgment kutolewa,mkitokea wote mtasikilizwa pia ambapo hapo mahakama itakua na uwezo kwa kutoa talaka(divorce) au tengano la muda(legal separation) ikijiridhisha na sababu zilizotolewa ,japo kwa ndoa za kikristo ni nadra sana kutolewa talaka
Tatizo lako kubwa humridhishi unyumba.
hayo yote uliyoeleza ni matatizo ya kukosa unyumba unaohitajika.
Jichunguze, upo chini ya kiwango. Ukizidisha kiwango kikamfikisha atakapo kufika huyo mkeo basi hiyo ndiyo solution ya ya pekee ya yote hayo, hutosikia tena tusi kutoka kwa mkeo.
Mwanammke hata uwe na mali za dunia kama haumridhishi basi ni bora usepe tu. Hakuna solution.