Taratibu za kupata talaka tafadhali!

Taratibu za kupata talaka tafadhali!

Mpeleke kwao akapumzike angalau miezi sita kwanza ili utafakari upya.
Pole sana hawa si watu wema kabisa
 
Kabla ya mahakamani, anza kwenda baraza la usuluhishi la ndoa (marriage reconciliation board)!
 
Kabla ya mahakamani, anza kwenda baraza la usuluhishi la ndoa (marriage reconciliation board)!

Zipo sababu mbalimbali za utolewaji wa talaka mf.ugoni, kifungo kinachozidi miaka 5, kutokujulikana ulipo kwa miaka 5, ukatili wa kutisha n.k. Inaonekana sababu zaweza kuwa ktk ukatili, ila je unaweza kuthibitisha ni wa kutisha kiasi cha kuomba ndoa ivunjwe?

Pili ndoa za kikristo ni ngumu sana kutalikiana kulingana na kiapo chenu cha ndoa, at least ingekua dhehebu lingine japo mahakama hutoa talaka pale inapobidi.

Hatua za kufuata;
1. Peleka malalamiko yako ktk baraza la usuluhishi na ndoa uishipo (marriage reconciliation board)
2. Baraza litawaita wote kwa malalamiko kusikilizwa.
3. Asipotokea huyo mkeo omba maamuzi kwa usikilizwaji wa upande wako (Ex parte) tu kwa kuthibitishia baraza kuwa mwenzio kakataa kutokea
4. Baada ya usikilizwaji utapewa certificate kutoka ktk baraza hilo kuonyesha kilichoamuliwa ambapo litabariki talaka endapo ndoa hiyo haiwezi kukarabatiwa au kurudishwa (broken down irreparably).
5. Nenda katika mahakama yenye mamlaka (jurisdictional court) Kuomba talaka ukiambatanisha na hiyo certificates.
 
Tatizo lako kubwa humridhishi unyumba.

hayo yote uliyoeleza ni matatizo ya kukosa unyumba unaohitajika.

Jichunguze, upo chini ya kiwango. Ukizidisha kiwango kikamfikisha atakapo kufika huyo mkeo basi hiyo ndiyo solution ya ya pekee ya yote hayo, hutosikia tena tusi kutoka kwa mkeo.

Mwanammke hata uwe na mali za dunia kama haumridhishi basi ni bora usepe tu. Hakuna solution.
 
Ahahaha,shikamoo mama!
kama vp, aje umfunde jinsi ya kumfikisha mwanamke mbingu ya tisa!ahahaha
 
The Don,
Ahsante sana kwa ushauri mzuri. Vipi lakini, je process mpaka kukamilika kwenye usuluishi wa ndoa inaweza ikachukua muda gani na hata process ya talaka Mahakamani pia inaweza kuchukua muda gani mpaka talaka inatolewa?

inategemea na mwenendo wa mashauri Mkuu,huchukua mda mfupi pale upande mmoja ukataapo kataa kujitokeza baada ya kupewa summons hivo Ex parte decision hutolewa ikiwekwa ktk hiyo certicate,endapo pande zote zimetokea usikilizwaji huendelea kwa kuwasikiliza pamoja ambapo husaidia kumaliza tofauti zenu ikishindikana ndipo hutolewa hiyo certificate ambayo utaenda nayo kufungulia shauri mahakamani,mahakama itasikiliza shauri kwa makini kutegemea kama pande zote zimejitokeza pia,km upande mmoja ndo umejitokeza yaweza sikilizwa Ex parte na judgment kutolewa,mkitokea wote mtasikilizwa pia ambapo hapo mahakama itakua na uwezo kwa kutoa talaka(divorce) au tengano la muda(legal separation) ikijiridhisha na sababu zilizotolewa ,japo kwa ndoa za kikristo ni nadra sana kutolewa talaka
 
Ahsante.
 
Tatizo lako kubwa humridhishi unyumba.

hayo yote uliyoeleza ni matatizo ya kukosa unyumba unaohitajika.

Jichunguze, upo chini ya kiwango. Ukizidisha kiwango kikamfikisha atakapo kufika huyo mkeo basi hiyo ndiyo solution ya ya pekee ya yote hayo, hutosikia tena tusi kutoka kwa mkeo.

Mwanammke hata uwe na mali za dunia kama haumridhishi basi ni bora usepe tu. Hakuna solution.

Watu munawaza unyumba tuuu. Talaka kutolewa ni haki. Tofauti labda ije kweny dini , km ni dini hizo nyengine utaratibu wake sielewi lakini ni muislamu basi kuna utaratibu.
Katika uislam talaka ni mara 2 mara ya tatu hawezi kurudi tena hadi aolewe aachwe ndio km wamtaka utamuoa tena.
Talaka haitolewi wakt wowote tuu , unapotoa talaka unatakiwa mke awe hajaingiliwa kwa baada ya siku zake za mwezi. Hii ina maana km mkeo umefanya nae tendo la ndoa talak haitosihi hadi atoharike ndipo umuache.
Talaka anaetoa ni mwanaume sio mwanamke. Katika vitu ambavyo hata mzaha wake ni kweli basi talaka.

Kuna habar kubwa juu ya talaka. Mume sio laxima awe haridhishwi tuu n mkewe ndio atoe talaka , mke unaweza kumuacha wakat wowote hata km hamujakosana. Hata M/Mungu anasema mukiachana muachane kwa wema
 
Back
Top Bottom