Taratibu za kupima kiwanja


Dah,
Very productive.
Sasa kama master plan inasema ni Barabara, nawe ushanunua, kuna uwezekano mipango miji wakapindisha au ku-ammend??
Manake master plan wanazifungia watu wa Ardhi, huku mitaani watu wanathibitishiwa Na serikali ya kijiji ambao hawajui chochote!!
 
hapo sasa siju inakuwaje ila ujanja wa kitaa unafanya hivi wewe unapaendeleza kama kawa kisha unapapima kama kawa ili watakapokuja na madai yao ya barabara basi watakufidia. ila hii haiko kama eneo toka mwanzo linajulikana ni barabara ama mahali tengefu halafu wewe ukapigwa mzinga ukanunua tu utakuwa umetapeliwa.
 
Kupata TP haizidi 40,000/= na hii ina radius ya 2km kutoka kwako!! Kumtafuta mtu aje kupima angle na GPS haizidi 80,000/= pia kupimisha kiwanja hadi kupata title andaa 1.5m
 

Naomba nikufahamu unisaidie namna ya kufanya huu upimaji kama unaweza kuniunganisha. Ni PM if you do not mind anyway! Kuna mambo sitaki yawe humu. Asante.
 
Thread hii nzuri sana, waliochangia wote asanteni..
Naomba kuliza, Mleta mada ulifanikiwa? kili cost bei gani?
 
Kupata TP haizidi 40,000/= na hii ina radius ya 2km kutoka kwako!! Kumtafuta mtu aje kupima angle na GPS haizidi 80,000/= pia kupimisha kiwanja hadi kupata title andaa 1.5m
Cha ukubwa gani mkuu au ukubwa wowote????
 
kwa stlye hii kununua kiwanja ni shida yaani kila kitu ulipie kwann maeneo yote yasipimwe kabisa ili kabla ya kununua kiwanja uangalie ramani husika kama unastahili kujenga eneo husika
 
wanasheria wachache ndugu, masuala km haya ,yanahitaji wanasheria.
Jukwaa la mapenzi yoyote anaweza changiaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…