nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Habari za wakati huu ndugu zangu?
Leo nimekuja kwenu kwa anayefahamu taratibu za kusajili tawi la Yanga. Ningependa kujua hatua kwa hatua. Yaani vigezo na masharti, ada za usajili na mambo mengi mpaka tawi kufunguliwa.
Tumejikusanya mashabiki 30 na wengine wanazidi kuongezeka tunataka tupate kadi za uachama ili tuwe mashabiki wa timu ya wananchi na tusiwe washangiliaji tena.
Nimejaribu kuuliza kwenye page za Yanga mitandaoni, lakini sipati majibu ya aina yoyote. Nimemfuata mpaka Ally Kamwe dm, lakini naye hajibu meseji.
Naamini hakuna kinachoshindikana hapa jamii forum, ndio maana nimekuja kwenu.
Location tupo Mbalizi Mbeya