Hawa watoto wa enzi hizi za Vyama vingi ukitaka kutafuna hadi mfupa we visha pete... Kwishaaa! Unatafuna utakavyo kwa tiketi ya pete tena ya mchina!Amani iwe kwen....!!Je ni upi utaratibu mzuri wa ki-Tanzania wa kumvalisha mtu pete ya uchumba ?...maana hua naona wengine wanavalishana mbele ya marafiki,wengine wanafanyiana supulize (oooh baby fumba macho zen anamvalisha wakiwa wawili tu)...wengine huandaa tafirija fupi ambapo utakuta hadi wazazi nao wapo kushuhudia...sasa hapo ndo sijaelewa kipi ni kipi?....naombeni mchango wenu
Nina mpango wa kumvalisha wangu hivi karibuni.. Nategemea kuita marafiki zangu km watatu na yeye aje na rafiki zake tufanye mambo. Itakuwa ni shughuri ndogo tu, wazazi hawatahusika, na ninafanya hivi baada ya kujitambulisha kwao. Pete ya uchumba ina maana sana ktk mapenzi!