Taratibu za kuvalishana pete ya uchumba....!!

Taratibu za kuvalishana pete ya uchumba....!!

nzedanze

Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
44
Reaction score
1
Amani iwe kwen....!!
Je ni upi utaratibu mzuri wa ki-Tanzania wa kumvalisha mtu pete ya uchumba ?...maana hua naona wengine wanavalishana mbele ya marafiki,wengine wanafanyiana supulize (oooh baby fumba macho zen anamvalisha wakiwa wawili tu)...wengine huandaa tafirija fupi ambapo utakuta hadi wazazi nao wapo kushuhudia...sasa hapo ndo sijaelewa kipi ni kipi?....naombeni mchango wenu
 
hizo za baby fumba macho nadhani ni za kwenye muvi.Kwetu huku kufanya sapraizi kama za kwenye muvi naona kama ngumu kidogo.Maana wazazi watatamani wajue pete imetoka wapi kwa binti yao.
 
Inategemea na makubaliano yenu nyie mnaovalishana.
 
Ni mara baada ya wachumba kutambulishana kwa wazazi wa pande zote,na hatimaye kanisani ambapo ndipo pete huvalishwa na ikifatiwe na tafriji if any.
 
Nina mpango wa kumvalisha wangu hivi karibuni.. Nategemea kuita marafiki zangu km watatu na yeye aje na rafiki zake tufanye mambo. Itakuwa ni shughuri ndogo tu, wazazi hawatahusika, na ninafanya hivi baada ya kujitambulisha kwao. Pete ya uchumba ina maana sana ktk mapenzi!
 
Amani iwe kwen....!!Je ni upi utaratibu mzuri wa ki-Tanzania wa kumvalisha mtu pete ya uchumba ?...maana hua naona wengine wanavalishana mbele ya marafiki,wengine wanafanyiana supulize (oooh baby fumba macho zen anamvalisha wakiwa wawili tu)...wengine huandaa tafirija fupi ambapo utakuta hadi wazazi nao wapo kushuhudia...sasa hapo ndo sijaelewa kipi ni kipi?....naombeni mchango wenu
Hawa watoto wa enzi hizi za Vyama vingi ukitaka kutafuna hadi mfupa we visha pete... Kwishaaa! Unatafuna utakavyo kwa tiketi ya pete tena ya mchina!
 
Nina mpango wa kumvalisha wangu hivi karibuni.. Nategemea kuita marafiki zangu km watatu na yeye aje na rafiki zake tufanye mambo. Itakuwa ni shughuri ndogo tu, wazazi hawatahusika, na ninafanya hivi baada ya kujitambulisha kwao. Pete ya uchumba ina maana sana ktk mapenzi!

gagurito hivi ulipata dawa ya kuisimamisha? ni yule yule uliyekuwa unadhania atakukimbia au huyu mwengine.
All the best.
 
mkisha tambulishana kwa wazazi wa pande zote ndo mnaweza kuvishana pete
 
Back
Top Bottom