nzedanze
Member
- Jul 13, 2011
- 44
- 1
Amani iwe kwen....!!
Je ni upi utaratibu mzuri wa ki-Tanzania wa kumvalisha mtu pete ya uchumba ?...maana hua naona wengine wanavalishana mbele ya marafiki,wengine wanafanyiana supulize (oooh baby fumba macho zen anamvalisha wakiwa wawili tu)...wengine huandaa tafirija fupi ambapo utakuta hadi wazazi nao wapo kushuhudia...sasa hapo ndo sijaelewa kipi ni kipi?....naombeni mchango wenu