Taratibu za Tender

Taratibu za Tender

Tuna group letu la kupeana uzoefu mambo ya tender wadau , mimi ni mmoja wapo wa niliefanya hizi issue sana tu . kuna wazoefu pia zaidi tunapeana moja mbili tatu, kama utapenda kushiriki nasi utupe mawazo ni PM nikupe link
Msaada link boss
 
Update:
Tar 15/01/2025
Nilipigiwa simu nipende kupima madirisha na kusaini mkataba.
Nilifanya hivyo, Leo tar 20/01/2025 nimekabidhi kazi, nimeambiwa ndani ya siku 3 nitakua nimeshalipwa.

Nipo nasubir Sasa.
 
Update boss
UPDATE
Tar 20/01/2025 nilikabidhi kazi (nusu) Kwan nilipeleka ombi kuwa nifanye Kazi awamu mbili maana mtaji mi shida, walikubali ndipo ni afanya nusu nikakabidhi, Nashukuru tar 27/01/2025 walinilipa na Sasa naendelea na kazi ili kukamilisha idadi.
 
Hadi Sasa changamoto ambayo nimekutananayo ni kwenye mambo ya kifedha, nimeingia bank 2 tofauti nikiwa na mikataba niliyo win tender ili kuwashawishi wanipatie mkopo ila imeshindikana, wao dhamana wanayohitaji ni Hati ya nyuma nk na sio tender
Hiki ni kikwazo.
 
Tuna group letu la kupeana uzoefu mambo ya tender wadau , mimi ni mmoja wapo wa niliefanya hizi issue sana tu . kuna wazoefu pia zaidi tunapeana moja mbili tatu, kama utapenda kushiriki nasi utupe mawazo ni PM nikupe link
Naona nashindwa kukupm, naomba unipm nirespond
 
Tuna group letu la kupeana uzoefu mambo ya tender wadau , mimi ni mmoja wapo wa niliefanya hizi issue sana tu . kuna wazoefu pia zaidi tunapeana moja mbili tatu, kama utapenda kushiriki nasi utupe mawazo ni PM nikupe link
Nipe link mkuu
 
Hadi Sasa changamoto ambayo nimekutananayo ni kwenye mambo ya kifedha, nimeingia bank 2 tofauti nikiwa na mikataba niliyo win tender ili kuwashawishi wanipatie mkopo ila imeshindikana, wao dhamana wanayohitaji ni Hati ya nyuma nk na sio tender
Hiki ni kikwazo.
Benki zetu ni changamoto sana ndo maana wachina wanatushinda sana kwenye tenda hizi. Wao wakipata kazi tu wanatuma barua benki zao kuomba ufadhili.
 
Back
Top Bottom