DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
sio ugavi. ugavi ni Supplyofisi za Ugavi - Procurement Management Unit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio ugavi. ugavi ni Supplyofisi za Ugavi - Procurement Management Unit
Msaada link bossTuna group letu la kupeana uzoefu mambo ya tender wadau , mimi ni mmoja wapo wa niliefanya hizi issue sana tu . kuna wazoefu pia zaidi tunapeana moja mbili tatu, kama utapenda kushiriki nasi utupe mawazo ni PM nikupe link
UPDATEUpdate boss
Naona nashindwa kukupm, naomba unipm nirespondTuna group letu la kupeana uzoefu mambo ya tender wadau , mimi ni mmoja wapo wa niliefanya hizi issue sana tu . kuna wazoefu pia zaidi tunapeana moja mbili tatu, kama utapenda kushiriki nasi utupe mawazo ni PM nikupe link
nime ku pmNaona nashindwa kukupm, naomba unipm nirespond
Benki zetu ni changamoto sana ndo maana wachina wanatushinda sana kwenye tenda hizi. Wao wakipata kazi tu wanatuma barua benki zao kuomba ufadhili.Hadi Sasa changamoto ambayo nimekutananayo ni kwenye mambo ya kifedha, nimeingia bank 2 tofauti nikiwa na mikataba niliyo win tender ili kuwashawishi wanipatie mkopo ila imeshindikana, wao dhamana wanayohitaji ni Hati ya nyuma nk na sio tender
Hiki ni kikwazo.