Taratiiiiibu Serikali zote za Afrika zitaondolewa madarakani na mfumuko wa bei

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Sierra Leone protest: Wetin dey happen for Sierra Leone?

People run away during an anti-government protest, in Freetown, Sierra Leone, August 10, 2022

WIA DIS FOTO COME FROM,REUTERS

At least two police officers and one civilian don die after one day of anti-government protests for Sierra Leone's capital, Freetown, staff at the city's main mortuary tell Reuters on Wednesday.

Sierra Leone's goment don previously say pipo die, but dem no say how many, as protesters throw rocks and burn tyres for di streets out of frustration sake of worsening economic hardship and oda issues.

Long-standing frustration bin dey gingered by rising prices for basic goods for Sierra Leone, wia more dan half di population of around 8 million dey live below di poverty line, according to di World Bank.

Di goment on Wednesday impose nationwide curfew to prevent further breakdown of lawa and order
 
Itafikia kipindi pesa unakuwa haina thamani kama kinachotokea Kule Lebanon,Sri Lanka ,Pakistan ,Argentina NK
Huwezi nunua chochote ,nakwambia mtaenda mpaka ikulu bila kuambiwa
 
Kweli hali ni mbaya sana kote kote duniani ila watanzania ni shida sana wao bado wanashindana kumsifia yule wanayemuita mama tena ni mama wa ajabu aliyezaa watoto zaidi ya milioni 60. 😛 😛 😛😛
Wanalipa na bukubuku kwa Mange kimambi wapate connection.
 
Wataandamana koote ila sio kwa the so called dona kantri....wananchi wake ni watiifu na wakarimu...taifa lenye tunu ya amani...wananchi wanachojua ni kuimba usiku kucha "MAMA ANAUPIGA MWINGII"..." MITANO TENA"......what a fuc**ing country
 
Kweli hali ni mbaya sana kote kote duniani ila watanzania ni shida sana wao bado wanashindana kumsifia yule wanayemuita mama tena ni mama wa ajabu aliyezaa watoto zaidi ya milioni 60. 😛 😛 😛😛
Huyo huyo unaaemuita wa ajabu,yeye angalau anaweka Ruzuku kwenye mafuta, kwenye mbolea nk kupunguza hayo makali ila huko kwingine wanaacha mpambane na Hali yenu..
 
Huyu anaendeleza zile zile sera za dikteta za Magufuli za kulisha watu uongo huku akidai asifiwe.

Ruzuku ya mafuta wanasema walitoa shilingi bilioni mia moja lakini hawataki kusema waliitoa kwa muda gani kama kweli waliitoa maanake kama waliitoa mara moja ni kazi bure tu kwa sababu tunaona bei ya mafuta inapanda tu nchini wakati kwenye soko la dunia inapungua.!
 
Wewe nae ni wale wale vichwa boga, kwamba hujui bil.100 inatolewa kila mwezi?

Kwa mda gani ndio manake nini? Mafuta yakiwa Bei ya zamani ruzuku itaondoka.
 
Wataandamana koote ila sio kwa the so called dona kantri....wananchi wake ni watiifu na wakarimu...taifa lenye tunu ya amani...wananchi wanachojua ni kuimba usiku kucha "MAMA ANAUPIGA MWINGII"..." MITANO TENA"......what a fuc**ing country
Ulitaka wafanye vurugu au wakuimbe wewe?
 
Hapa kwetu hata bei zipande vipi plus uwape na elf 10 KILA mtu Ili waandamane still awatoandamana
 
Itafikia kipindi pesa unakuwa haina thamani kama kinachotokea Kule Lebanon,Sri Lanka ,Pakistan ,Argentina NK
Huwezi nunua chochote ,nakwambia mtaenda mpaka ikulu bila kuambiwa
Kwa hiyo mkuu unaombea tuwe kama hao? Kuwa mzalendo, wewe binafsi kwa nafasi yako tafakari umetenda kwa kiasi gani kusaidia nchi yetu isifike huko!
 
Back
Top Bottom