Taratiiiiibu Serikali zote za Afrika zitaondolewa madarakani na mfumuko wa bei

Taratiiiiibu Serikali zote za Afrika zitaondolewa madarakani na mfumuko wa bei

Sasa wakishaondoka madarakani ndio mfumuko wa bei utaisha? Hao watakaowa replace ni malaika kutoka mbinguni? acheni hizo.

"Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; Mimi nimeushinda ulimwengu." YOHANA 16:33 b

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Sierra Leone protest: Wetin dey happen for Sierra Leone?

People run away during an anti-government protest, in Freetown, Sierra Leone, August 10, 2022

WIA DIS FOTO COME FROM,REUTERS

At least two police officers and one civilian don die after one day of anti-government protests for Sierra Leone's capital, Freetown, staff at the city's main mortuary tell Reuters on Wednesday.

Sierra Leone's goment don previously say pipo die, but dem no say how many, as protesters throw rocks and burn tyres for di streets out of frustration sake of worsening economic hardship and oda issues.

Long-standing frustration bin dey gingered by rising prices for basic goods for Sierra Leone, wia more dan half di population of around 8 million dey live below di poverty line, according to di World Bank.

Di goment on Wednesday impose nationwide curfew to prevent further breakdown of lawa and order
Kasoro serikali ya Tanzania.
 
Hapa kwetu hata bei zipande vipi plus uwape na elf 10 KILA mtu Ili waandamane still awatoandamana
Watakapoanza kuwafanyia umafia wenye nacho ndio mtaelewa vyema. Wacha njaa iume vizuri
 
Muda ndio utaongea acha unga ufike kilo 5,OOO
Unga ukifika 10,000 ndio kuna njaa? 😆😆😆😆 Unaota..

Mtakoma nyie wa huko Dar sisi mikoani ndio kwanza tunavuna,nikipata mda nitakupigia picha lundo la magunia uone..

Sio tuu mahindi hadi mchele,na Kwa taarifa yako mwaka huu licha ya mvua kusuasua ziada imepatikana kama Kawa..

Kenya tuu hapo wamefuta ruzuku na Sababu tayari mavuno kwenye baadhi ya maeneo ya Nchi yao yameanza hivyo Bei zimeshuka..

Endelea kuota.
 
Sasa unafikiri mkiandamana Ludewa ndio nchi itasimama? Mjini hapa kikinuka ndio lazma tukae kamati ya maridhiano.
 
Sasa unafikiri mkiandamana Ludewa ndio nchi itasimama? Mjini hapa kikinuka ndio lazma tukae kamati ya maridhiano.
Yaani mm nilime na kutoa jasho harafu niandamane kwa ajili ya majitu yamekimbia shamba kwenda mjini kuuza maji na utumbo,kuwa serious Mzee sifanyi huo ujinga..

Kwa Museven waliandamana nini kimebadilika?
 
Kweli hali ni mbaya sana kote kote duniani ila watanzania ni shida sana wao bado wanashindana kumsifia yule wanayemuita mama tena ni mama wa ajabu aliyezaa watoto zaidi ya milioni 60. 😛 😛 😛😛
Sisi wengine tunawaangalia tu wanavyoimba kikasuku eti "Mama anaupiga mwingi"
 
Yaani mtu kama m7 atolewe madarakani na mfumuko wa bei tu. Yaani kagame na samia watoke madarakani kisa mkate unauzwa tsh 7500 kweli?!!
Kuna ajuza hapa Tanzania anawaambia watu eti " Bei ya mafuta hapa Tz iko chini
Huyo huyo unaaemuita wa ajabu,yeye angalau anaweka Ruzuku kwenye mafuta, kwenye mbolea nk kupunguza hayo makali ila huko kwingine wanaacha mpambane na Hali yenu..
Fanya kilimo ndio ulete hizo ngonjera za ruzuku kwenye mbolea. Ruzuku ya kwenye mafuta ndio hii inayopandishs bei ya mafuta Tz wakati nchi nyingine yakiendelea kushuka Bei!?
 
Sierra Leone protest: Wetin dey happen for Sierra Leone?

Sierra Leone's goment don previously say pipo die, but dem no say how many, as protesters throw rocks and burn tyres for di streets out of frustration sake of worsening economic hardship and oda issues.
MakinikiA ... Mimi nimeiona hiyo Sierra Leonean Creole language aka Pidgin / Krio
 
Kuna ajuza hapa Tanzania anawaambia watu eti " Bei ya mafuta hapa Tz iko chini

Fanya kilimo ndio ulete hizo ngonjera za ruzuku kwenye mbolea. Ruzuku ya kwenye mafuta ndio hii inayopandishs bei ya mafuta Tz wakati nchi nyingine yakiendelea kushuka Bei!?
Kilimo.sijaanza leo wala Jana kufanaya na Mwaka huu ndio tutapata kamseleleko Kwa bei za mbolea za ruzuku..

Bila hiyo ruzuku ya ajuza Bei zingekuwa kubwa kama huko wanakoandamana.
 
Huyu anaendeleza zile zile sera za dikteta za Magufuli za kulisha watu uongo huku akidai asifiwe.

Ruzuku ya mafuta wanasema walitoa shilingi bilioni mia moja lakini hawataki kusema waliitoa kwa muda gani kama kweli waliitoa maanake kama waliitoa mara moja ni kazi bure tu kwa sababu tunaona bei ya mafuta inapanda tu nchini wakati kwenye soko la dunia inapungua.!
Hio ruzuku sikuona kama ilikuwa na msaada wowote, nilitegemea baada ya ruzuku mafuta yamgerudi kwenye litre 2600 kurudi chini lkn ilipungua tsh 100 tuu,hio ilikuwa na msaada gan
 
Tatizo humu wananibisha tu ila ipo siku hii inchi tutatafutana humu ni swala la muda tu
 
Back
Top Bottom