Tarehe 09 Februari 2026. Twende Mahakamani kwa Lissu

Tarehe 09 Februari 2026. Twende Mahakamani kwa Lissu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Twende kwa wingi.
Kwa umoja,
Kwa amani,
Kwa utulivu

Kusikiliza kesi ya Lisu kama itakuwepo maana wanaweza kupokea maagizo yoyote kutoka JUU.

UPO HAPO MASAJU? USIRUHUSU MAAGIZO
 
Twende kwa wingi.
Kwa umoja,
Kwa amani,
Kwa utulivu

Kusikiliza kesi ya Lisu kama itakuwepo maana wanaweza kupokea maagizo yoyote kutoka JUU.

UPO HAPO MASAJU? USIRUHUSU MAAGIZO
Wakiona watu ni wengi kuelekea mahakamani,Polisi watawatawanya kwa vipigo. Watasema wamepata taarifa za kiintelejensia kwamba wamepanga kuleta vurugu na kumtorosha Lissu.😁😁😁😁Wanapata uhalali wakuwapiga virungu, mabomu na ikibidi risasi za moto.
 
Back
Top Bottom