R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Feb 3, 2026 #1 Twende kwa wingi. Kwa umoja, Kwa amani, Kwa utulivu Kusikiliza kesi ya Lisu kama itakuwepo maana wanaweza kupokea maagizo yoyote kutoka JUU. UPO HAPO MASAJU? USIRUHUSU MAAGIZO
Twende kwa wingi. Kwa umoja, Kwa amani, Kwa utulivu Kusikiliza kesi ya Lisu kama itakuwepo maana wanaweza kupokea maagizo yoyote kutoka JUU. UPO HAPO MASAJU? USIRUHUSU MAAGIZO
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Feb 3, 2026 #2 Nitakuwepo💪🏿✌🏿📌🔨
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Feb 3, 2026 Thread starter #3 Mshana Jr said: Nitakuwepo💪🏿✌🏿📌🔨 Click to expand... Amina
Joe Milla JF-Expert Member Joined Jul 28, 2014 Posts 1,622 Reaction score 2,897 Feb 3, 2026 #4 Retired said: Twende kwa wingi. Kwa umoja, Kwa amani, Kwa utulivu Kusikiliza kesi ya Lisu kama itakuwepo maana wanaweza kupokea maagizo yoyote kutoka JUU. UPO HAPO MASAJU? USIRUHUSU MAAGIZO Click to expand... Wakiona watu ni wengi kuelekea mahakamani,Polisi watawatawanya kwa vipigo. Watasema wamepata taarifa za kiintelejensia kwamba wamepanga kuleta vurugu na kumtorosha Lissu.😁😁😁😁Wanapata uhalali wakuwapiga virungu, mabomu na ikibidi risasi za moto.
Retired said: Twende kwa wingi. Kwa umoja, Kwa amani, Kwa utulivu Kusikiliza kesi ya Lisu kama itakuwepo maana wanaweza kupokea maagizo yoyote kutoka JUU. UPO HAPO MASAJU? USIRUHUSU MAAGIZO Click to expand... Wakiona watu ni wengi kuelekea mahakamani,Polisi watawatawanya kwa vipigo. Watasema wamepata taarifa za kiintelejensia kwamba wamepanga kuleta vurugu na kumtorosha Lissu.😁😁😁😁Wanapata uhalali wakuwapiga virungu, mabomu na ikibidi risasi za moto.