Tarehe 1 Januari itakuwa siku yako ya baraka sana #idai

Mana mnasemaga watabiri kwann tunatabirigi mabaya tu,haya Leo nimewaletea tabiri njema na muzur kabisa
 
Asante mkuu ..
Naomba niombee kimoyo moyo haya maneno

""Mungu msaidie huyu kijana mwaka huu aache ujinga ujinga asome sana sio kuwaza ngono tu, afanye maisha yake """

Sema hivo mkuu
Maneno Yako yameitimia na haja zako zimetimiziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…