Tarehe 10.10.2010 - Thank you my lovely wife Jackline....

Tarehe 10.10.2010 - Thank you my lovely wife Jackline....

Jamani inapendeza sana kama utam-mwagia maneno haya uso kwa uso, sasa huku JF asipopita pita ndio basi tena?

Anyways, sista kama ukipitia huku hongera mwayego...
..Dina. Kiukweli kabisa Jack nilimpa hili neno uso kwa uso kwa busu kubwa kabisa jana kiasi hata "kadadaa" akabaki ameduwaa yaani we acha tu:tonguez::tonguez:
 
..Dina. Kiukweli kabisa Jack nilimpa hili neno uso kwa uso kwa busu kubwa kabisa jana kiasi hata "kadadaa" akabaki ameduwaa yaani we acha tu:tonguez::tonguez:

Jack ndio nani sasa?
 
Siku ya jana tarehe 10.10. 2010 mimi na my wife wangu kipenzi Jack tulikuwa tunatimiza miaka 3 ya ndoa yetu.Pamoja na mawimbi ya hapa na pale mungu ametufikisha hapa. What a wonderful wife and mother you are Jack??? Kwa kupitia JF napenda kumwambia mke wangu kwa kweli nakupenda sana wewe na mwanetu Nancy " Kadadaa"..Najua my wife huwa anapita pita humu..

Hivi jamani hapa ndio mahala pakumwambia??? ulitakiwa kulifanya hili kabla hujashuka kitandani na ukizingatia it was sunday
 
..fl1 unajua jana tulikuwa tuko mahali fulani na jack nikahisi kama machozi yanataka kunitoka. Ukweli ni kwamba mungu akikujalia kupata mke wa kweli kuna raha yake kabisa...nashukuru sana!!

usemi wako unawezafanywa watu warudi makanisani kutengua ndoa zao..maana nyingi ni maumivu mtu akaamua kujaribu nyingine..mungu azidi kuwaongoezea neema kwenye ndoa yenu amani iwe kwenu mileele..la maana mzidi kuwaombea hasa wanaotoa hoja hapa msione hivi zina maumivu kweli ..kama mungu ajasimama nayo
 
hahahah Hommie mama Matesha ndo BINTI yako wa kwanza au vipi..kisha ndo matesha...ORAIT...

Hangover! Damn it! Kwahiyo jamaa alimtwanga wife wake busu mpaka akachanganyikiwa? I have lots to learn!
 
Ok....nimeamua kuwapotezea>>Asprin, Kaizer, Roya Roy, The finest kwa muda....
Nisamehe Finest.....hello and Goodbye for now!
Concentration inapungua....ngoja nitekeleze majukumu kwanza....
 
Ok....nimeamua kuwapotezea>>Asprin, Kaizer, Roya Roy, The finest kwa muda....
Nisamehe Finest.....hello and Goodbye for now!
Concentration inapungua....ngoja nitekeleze majukumu kwanza....

ORAIT.....haya ni majukumu pia.....kila la heri..".I will be right here waiting for U"
 
Ok....nimeamua kuwapotezea>>Asprin, Kaizer, Roya Roy, The finest kwa muda....
Nisamehe Finest.....hello and Goodbye for now!
Concentration inapungua....ngoja nitekeleze majukumu kwanza....
Ahaaaaa! Asavali!
 
Back
Top Bottom