Tarehe 17 Machi huku wakifanya sherehe za kumbukizi za kifo cha Magufuli, sisi wengine tutafanya sherehe za shukrani kwa uongozi wa Samia Suluhu

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari,

Ambao tuna jambo letu la shukrani kwa Mungu tukutane Alhamisi hii ya tar 17 Machi, 2022. Mimi nasherehekea mwaka mmoja wa uongozi wa Samia Suluhu maana najua tangu Magufuli afe tarehe 17 Machi 2021 SAMIA SULUHU ndiye kawa kiongozi mpaka sasa.

Ninaweza kuorodhesha mazuri ya RAIS SAMIA SULUHU yaliyonisukuma kufanya sherehe lakini nashindwa maana ni mengi.

Tumieni uhuru wenu wa kikatiba kufanya sherehe za kumuenzi Magufuli kwa mema yake ikiwemo kuzalisha vijana wachapakazi kama Sabaya, Makonda n.k na sisi tutatumia Uhuru wetu wa kikatiba bila ya kuwatilia fujo kufanya sherehe zetu.
 
Kama mlifukuzwa makazini kwa vyeti feki kaeni kwa utulivu.

Kama mlikuwa Majizi mkatumbuliwa kwa Wizi tulizeni akili.

Kama mlitumbuliwa kwa Uzembe jifunzeni kuchapa kazi.

Kama mlizoea kupiga madili na kuweka maslahi yenu mbele rudini mkaibe tena maaana shamba la bibi liko wazi sasa Tanesco Umeme mnaugawa kwa michongo, Treni ya Arusha hakuna kitu, SGR mmegoma kuipa kipaumbele, Bwawa la Nyerere ni danadana, mashuleni Michango imerudi, Mtaaani Uhalifu umerudi, Makazini Uzembe umejaaa maradufu, Mahospitalini Unakufa huku unajiona.

Inshort Mmepoteza dirra na Watanzania kuwaongoza kwa kucheka nao mtavuna mabua, wajanja wanamega Nchi Kisela wengine mnabaki kushabikia msivyovijua.
 
Na
Usikute mleta mada hata uhakika wa chai wala cha mchana hana, anafikiria kufanya sherehe machi 17😁
 
Nitakunywa bia nyingi mnooooooooo kusheherekea kifo cha John Jozee Pombeee Makufulilo.
 
Ila kashaoza na ananuka muda huu
 
Vision
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…