Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari,
Ambao tuna jambo letu la shukrani kwa Mungu tukutane Alhamisi hii ya tar 17 Machi, 2022. Mimi nasherehekea mwaka mmoja wa uongozi wa Samia Suluhu maana najua tangu Magufuli afe tarehe 17 Machi 2021 SAMIA SULUHU ndiye kawa kiongozi mpaka sasa.
Ninaweza kuorodhesha mazuri ya RAIS SAMIA SULUHU yaliyonisukuma kufanya sherehe lakini nashindwa maana ni mengi.
Tumieni uhuru wenu wa kikatiba kufanya sherehe za kumuenzi Magufuli kwa mema yake ikiwemo kuzalisha vijana wachapakazi kama Sabaya, Makonda n.k na sisi tutatumia Uhuru wetu wa kikatiba bila ya kuwatilia fujo kufanya sherehe zetu.