KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Binafsi taarifa za msiba wa Rais nilizipata nikiwa njiani, nimepanda basi la Majinja likilokuwa linàfanya safari za wizi za usiku, likitoka Dar kuelekea Mbeya. Safari yangu ilikuwa ikiishia Mafinga mkoani Iringa.
Nilikuwa nime tune Radio 1, ndipo wakakata matangazo na tukaunganishwa na TBC.
Makamu wa Rais alipotangaza tukio lile, basi likageuka kama la kusafirisha msiba, vilio vikatawala, hadi nafika Mafinga, mji wote una msiba.
Je, mwenzangu msiba ulikukutia wapi? Hali ilikuwaje?