Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
P
Mungu alisikia kilio Cha wengi nyie Wachache mliokua mnashirikiana nae mnaleta habar sio..msitumie madaraka kutesa watu,kudhulimu watu,kuua watu...wote ni binadam mavumbini tutarudi!!
Peleka unafki wako huko..dhalimu ameondoka unaleta habar za unafki hapa..kama vip kaungane nae..Niliamshwa toka usingizini na simu ya rafiki kuniambia niangalie TV.
Nilikuwa mmoja ya wanaomkandia na kumpinga sana lakini kibinadamu huwezi furahia mauti ya mwenzio ukijua wewe mwenyewe unaelekea huko huko. Naamini nilihuzunika.
Kwa sasa kwa baadhi ya mambo yanavyokwenda huwa najutia baadhi ya vitu nilivyokuwa navipinga na kumkandia.
Yote kwa yote sisi wote ni wa Mola na hakika kwake tutarejea. Kila nafsi itaonja mauti. Mungu amlaze mahala pema na atupe mwisho mwema sisi tuliobaki.
Mungu alisikia kilio Cha wengi nyie Wachache mliokua mnashirikiana nae mnaleta habar sio..msitumie madaraka kutesa watu,kudhulimu watu,kuua watu...wote ni binadam mavumbini tutarudi!!