Kula cuma hichoMmesubir mpaka mwana alete simuliz ndio na nyie mnajifanya kujua imtoka wapi mbwa nyie
Mi na kwenda na mleta uzi ndio namuelewa..Kula cuma hicho
Hili hili li Fortunatus Buyobe ndio liliiba srory ya Yoga kwenda kui post huko twitterKwa hio jamaa anafanya biashara kupitia uanzilishi wa simulizi za watu ? Yaan kuna baadhi ya wabongo ni lala kweli unawezaje kufanya hivyo ndio maana yoga alipoona watu wanacopy story yake ya Dark Days aliacha mara moja kusimulia wabongo nyoso sana
Mm nlishtuka kuanzia nlivyoanza kuisoma nikasema ngj nimuache na yeye apate ugali wa watoto[emoji2][emoji2]huyu buyobe Hana haya Wala aibu ni mkavu kweli kweli Bora basi aseme ameitoa JF hasemi hafu huko twirani watu hawajamshtukia tu hata story NZuri ya yoga, umughaka kaiba, jamani huyu mwanaume mwizi kwerikweri in jiwes voice
[emoji2][emoji2][emoji2]wameona mleta mada kapata ujiko sana na wao wakaona waseme Sasa taarifa ka hii lazima Ina source mbona hawakuleta.Mmesubir mpaka mwana alete simuliz ndio na nyie mnajifanya kujua imtoka wapi mbwa nyie
Inaonesha wameanza kukuzngua chinichini aiseeKwa mbaaalii naanza kuona na kuamini hii stori ya Oleg Gordievsky kuwekwa humu j.f . Imewauma baadhi ya watu Hadi huko Twitter . Kwani Kuna ubaya gani niliofanya ku share hii stori na waungwana humu ? . Hii ni user generated forum mtu anaandika na ku share anachoona kinafaa na Mimi nikaona ni vyema ku share lengo ni kuburidika na kuelimika kwa pamoja . Wengine wananiponda huko inbox kwamba ni najifanya mjuaji n.k. wengine wanasema kwamba ni acknowledge source sijui nimeitoa wapi hii story..nani kasema sita acknowledge sources au mlihisi nimejitungia hii stori..
By the way business as usual siwezi acha kuendelea . Labda nipigwe ban.
Hahaaa umemwambia ukweli wanataka story zao zilipiwe sijui walikuwa wapi. Wachawi ni watu wabaya sana [emoji2][emoji2][emoji2]Mkasubir mwenye akil zake mcTobby aanze na nyie mjifanye mnajua mafala nyie.. wivu tu umewajaa..mlifikir ni wenywew tu mnajua hiz vitu kumbe kuna wenye roho za kiungwana wanaopenda ku share maarifa...kafie mbele hukoo mjinga mmoja wewe tuache
Niko nafatilia Kwa ukaribuFika kilingeni hapa.
Yeye kapata Bure why awatoze wengine na hatoi credit Kwa mwandishi na JF au anataka asifiwe ni mjanja[emoji2][emoji2]Mm nlishtuka kuanzia nlivyoanza kuisoma nikasema ngj nimuache na yeye apate ugali wa watoto
[emoji2][emoji2] achana na hao watu mkuu, vile wameona umeelezea story vizuri na mtiririko bila kusumbua na story inaeleweka ndio wanakuja. I think Kuna kawivu pia Kwa mbali [emoji2][emoji2].Kwa mbaaalii naanza kuona na kuamini hii stori ya Oleg Gordievsky kuwekwa humu j.f . Imewauma baadhi ya watu Hadi huko Twitter . Kwani Kuna ubaya gani niliofanya ku share hii stori na waungwana humu ? . Hii ni user generated forum mtu anaandika na ku share anachoona kinafaa na Mimi nikaona ni vyema ku share lengo ni kuburidika na kuelimika kwa pamoja . Wengine wananiponda huko inbox kwamba ni najifanya mjuaji n.k. wengine wanasema kwamba ni acknowledge source sijui nimeitoa wapi hii story..nani kasema sita acknowledge sources au mlihisi nimejitungia hii stori..
By the way business as usual siwezi acha kuendelea . Labda nipigwe ban.
Asee sijui kwanini imewauma kiasi hiki . Mimi baada ya kuvutiwa na hii story nikaona siyo vibaya ku share na Wana jf humu Sina roho ya kwanini kiasi hicho. Nahisi wangenijua wangeniundia tume na kuituma kwangu. [emoji38][emoji38]. Mpaka Sasa sijaona kosa lolote nimefanya ku share hii stori humu.Inaonesha wameanza kukuzngua chinichini aisee
[emoji2][emoji2][emoji2] famchezo Nini?" For an intelligence service, there's no process more painful and debilitating than internal hunt for an unidentified traitor...." ujitafute chawa kichwani mwako......si mchezo[emoji848]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkulu usiumize kichwa, hao hata kwetu wapo, achana nao piga kazi, watanyooshwa na matokeo ya kazi.Asee sijui kwanini imewauma kiasi hiki . Mimi baada ya kuvutiwa na hii story nikaona siyo vibaya ku share na Wana jf humu Sina roho ya kwanini kiasi hicho. Nahisi wangenijua wangeniundia tume na kuituma kwangu. [emoji38][emoji38]. Mpaka Sasa sijaona kosa lolote nimefanya ku share hii stori humu.