mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
- Thread starter
- #581
Huyu ni Michael bettaney afisa wa M15 aliyekuwa na mawasiliano na Siri na Arkadi guk na maafisa kadhaa wa Soviet ,Ili kuvujisha Siri . Alijiita KOBA .
Alishtakiwa kwa makosa kumi ya uhaini na kukiuka taratibu za kazi za usalama wa taifa la uingereza.