Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

26

Wanasema kuhudhuria kwa thatcher kwenye msiba wa Yuri Andropov huko Moscow ni script iliyokuwa imeandaliwa na taasisi za kijasusi za uingereza kwa msaada wa Oleg . Kutokana na mwanamama huyu kuwa "hate figure "mbele ya Warusi kutokana na misimamo yake mikali dhidi ya ukomunisti.

Inasemekana hata mavazi aliyopaswa kuvaa siku ya msiba na jinsi atakavyo behave yalipangwa na hao hao M16 vs Oleg . Lengo la haya yote ni kuwin saikolojia ya viongozi wa Soviet na kupata sympathy Ili iondoe dhana ya chuki aliyokuwa amejengewa huyu mama na Wa Russia. Kwa mfano hata wakati waombolezaji wengine wakiwa wanachati maongezi ya hapa na pale ,yeye alibaki mtulivu muda wote kwenye ibada ya mazishi (kutuma ujumbe kisaikolojia).

Na pia hii ingesaidia kupunguza joto lililokuwepo Kipindi hicho la Vita baridi. Baada ya mazishi alitumia muda uliobaki kabla kuondoka kwa kuongea na baadhi ya wanasiasa kadhaa wa urusi ikiwemo kostantin Chernenko ambaye ndio kiongozi wa Soviet wakati huo baada ya kifo Cha Andropov . Waliongea maswala kadhaa ikiwemo swala la matumizi ya nyuklia kusitishwa n.k.

Baada ya mambo ya msiba kuisha M16 waliona thatcher alicheza script yake vizuri kama walivyotarajia. Hii kidogo ikapunguza joto la Vita baridi lilikokuwa likifukuta. Hata ubalozi wa Soviet hapo London ukiwa chini ya Popov kwa wakati huo walipeana briefings kuhusiana na msiba ulivyoenda vyema na kuhudhuriwa na P.M wa uingereza. ...... Laiti wangekuwa wanajua huu mchezo ulisukwa kijasusi [emoji3578][emoji3578].

Taarifa zote za kijasusi alizokuwa akitoa bwana Oleg zilikuwa na na pande mbili (faida na hasara). Kwa mujibu wa Repoti mbalimbali zilijokuja kuandikwa baadaye ni kwamba kwa kiasi kikubwa zili neutralize Hali ya vita baridi kwa wakati huo kwa kutoa tahadhari na Hali ya kujikinga kutokea kwa vita vya nyuklia.

Kwa upande wa hasara ni kwamba zilionyesha madhaifu mengi na makubwa kwa ubalozi wa urusi hapo London. Ilionyesha hao wafanyakazi wote hapo wakiwa kama ni wazembe ,wasiojielewa na pia ni wahafidhina kindakindaki wasiofanya maamuzi yenye logic Bali wanatumia hisia zaidi. Na kudhibitisha hili la Soviet officials hapo walikuwa wanatumia hisia kuliko logic . Kwa mujibu wa Repoti ya Oleg, ilitokea pale ambapo raia wawili wa urusi walifariki kwa nyakati tofauti nchini uingereza .Mmoja akiwa ni mfanyabiashara na mwingine alikuwa ni mke wa afisa mmoja . Balozi wa Russia kipindi hicho akiwa ni bwana Guk akaandaa Repoti kuhusiana na vifo hivyo kwa wakubwa zake huko Moscow akidai kwamba waingereza wameanza kuwamaliza wa Russia kimyakimya .

Hivyo akadai miili hiyo ifanyiwe postmortem wakiamini huenda walipewa sumu. Na madaktari huko Russia wakafanya kama walivyoagizwa ku confirm report kwamba ni kweli walipewa sumu. Kiuhalisia haikuwa kweli hata kidogo maana raia hawa mmoja alikufa kwa kujinyonga na mwingine alijirusha ghorofani akafa kwa sababu personal walizozijua wao binafsi. Baada ya Oleg kubaini hili na kuwatonya M16 waka confirm kweli wengi wa maofisa hao hapo ubalozini ni empty set.

Bwana Oleg aliendelea kutoa infos kama kawaida . Kupitia vyanzo vya bwana huyu katika kupata taarifa,alikuja kugundua kwamba kipindi wafanyakazi wa migodini wa uingereza walipoleta mgomo 1984-1985 , viongozi wao wa NUM(National union of mine workers ) waliwasiliana na Moscow wapate msaada wa kifedha. Mwazoni KGB walipinga lakini wakakubali. Russia waka approve muamala ufanyike kupitia benki Moja ya uswisi kutoka Soviet foreign trade bank kiasi Cha $1milioni. Mpango huu ulitibuliwa na transaction haikufanyika Tena. Tukio hili lilimkasirisha thatcher sana.

Oleg alipata info nyingine kwamba Kuna mwanamama afisa wa police Yvonne Fletcher aliyesemekana aliuawa na majasusi wa libya maeneo ya st James square katikati mwa London . Kutokana na vyanzo vya Oleg ndani ya ubalozi , ilisemekana gadaffi alitoa order personally huyu mama auawe na akatumwa hitman kutoka libya kutekeleza mauaji hayo.taarifa hizi Oleg akazipenyeza Hadi kwa M16 wachukue hatua zaidi. Na kweli serikali ya uingereza ikavunja uhusiano wa kidiplomasia na Libya rasmi na kufukuza maafisa wote . (Huyu askari alikuwa tu on duty kama kawaida akisimamia maandamano ya raia kadhaa wa libya waliokuwa wanampinga gadaffi ) .

Hivyo ndivyo Hali ilivyokuwa.
Taarifa zote Oleg alizokuwa anatoa zilikadiriwa kufikia taarifa zaidi ya 1000 na zilikuwa categorized kulingana na uzito wake . Nyingine zilitumwa ofisini mwa thatcher ,idara ya mambo ya nje na nyingine kwa ajili ya CIA.
Na upande wa pili Oleg alikuwa anatoa taarifa za kijasusi kwa KGB nyingi zikiwa zimesukwa na M15 na M16 wenyewe kwa ajili ya kuwaridhisha mabosi wake huko Moscow.

Hatimaye kesi ya Michaels bettaney a.k.a Koba ilikuja kuendelea na ilianza kunguruma mahakamani. (kumbuka huyu alikuwa lock up na tuhuma za mashtaka kumi yanayomkabili ya uhaini). Alifikishwa mahakamani tarehe 11 April 1984 chini ya ulinzi mkali wa polisi . Na kwa jinsi kesi hii ilikuwa nzito ,madirisha yote ya majengo ya mahakama yakiwa yamefunikwa . Ushahidi ulioletwa mahakamani ulikuwa ni WA Siri kiasi kwamba waandishi wa habari na camera men hawakuruhusiwa kuingia ila waliset tu camera on.

Pia mahakamani waliunganisha mawasiliano ya simu Moja kwa Moja Hadi makao makuu ya M15 Kwa ajili ya kutoa maelezo au ushahidi ikiwa wangehitajika. Kesi iliendeshwa kwenye creen za tv.[emoji38]. Kutokana na uzito wa kesi hii kipindi hicho magazeti yaliandika kila waliloona linafaa.

Kwa mfano gazeti la the sun likaandika " TWEEDY TWIT BECAME A WICKED TRAITOR"[emoji38][emoji38].
gazeti la the times likaandika "THE INTELLIGENCE COLD WAR NEVER DIMINISHES" . Gazeti la daily telegraph likimweleza kama shoga msaliti wa nchi yake. . bwana Koba alipewa kifungo Cha miaka 28 gerezani ila alikuja kutoka mwaka 1998 kwa plea bargaining. Kutokana na taarifa hizi za bettaney kwenye magazeti ,CIA walishtushwa sana na tukio la kuwepo traitors ndani ya mashirika hayo ya uingereza.
Kifupi hata CIA hawakuwa Salama na wao . So Oleg .
 
Itakuwa wamelala... Mi nipo nakufuatilia.. Endelea
 
Kama mzee baba alivyoropoka habari za dg mstaafu kuwa Kama mlikuwa hamjui huyu ni usalama
 
[emoji122][emoji122][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…