Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Hakuna ambaye anheshinda!? Una maana gani hapa?? ++
 
Urusi huwa haogopwi kwa siraha alizo nazo, anaogopwa kwa chain of command katika kuamua matumizi ya siraha ipi itumike.Kwa USA kutumia siraha za maangamizi ni mchakato wakati kwa Russia ni rahisi mtu mmoja kuamua
 
Kama ilivyosasa wanamuogopa Urusi! How? Mbona naona ni swala la muda tu urusi atatii amri. Juzi Kati alipiga kelele akilalamika Ukraine ilijaribu kumuua Putin kwa kupiga eneo Walilodhani alikuwepo Putin. Sasa Kama anga la mbabe wa vita linashambuliwa na silaha ya kitoto Kama hizo drones si inamaana anga la urusi halipo salama ? Au wamejilipua wenyewe wapate kibali cha kuingia mazima Ukraine? Au ni west wamefanya hivyo kama anavyotuhumu? Kama ni kweli west wamembeep kwa drones bado inatuonesha anaweza akachapika tu kama west wataingia mzigoni mazima.
 
West wote hawana uwezo wa kupambana full scale war na Urusi, hakuna ambaye anaweza kwenda front kupambana na Urusi

Hapo Ukraine wamejaza West wote lakini wameshindwa wanatumia mgongo wa Ukraine

Narudia hakuna West anayeweza kupambana na Urusi Moja kwa moja , Marekani Mwenyewe anaogopa

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye shamba la ngumi hawavuni miwa!!
 
Wala hawajashindwa kumaliza hii vita wanachoavoid ni dunia kuingia kwenye ww3 ndo maana
 
'Kama Warusi waliokuwa wagumu na shupavu wa vita walikimbia ktk ardhi hii ya Jihad (Afghanistan), Waamerika wataondoka kwa aibu kubwa!" - Osama bin Laden

Hayo ni maoni ya mwamba akilinganisha Russia na USA!

Mwamba aliamini Westerners ni walaini laini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…