Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

31

Baada ya kufika kwa Grushko swali la kwanza aliloulizwa ni kuhusiana na yaliyompata Michael bettaney huko uingereza. Na swali lingine aliulizwa ni kuhusiana na kufukuzwa kwa bwana Arkadi guk nchini uingereza. Oleg akamjibu kwamba huenda guk alifukuzwa kutokana na makosa yake binafsi ya kujifanya ni KGB kwa hiyo uingereza hawakufurahishwa.[emoji38][emoji38]. lilikuwa ni swali la mtego sana hili.Akarudi ofisini mwake na baadaye akarudi nyumbani Kwa lift aliyopewa na gribin afisa mwenzake. Na kesho yake akarudi tena na maswali yakawa ni Yaleyale yasiyoeleweka. Hisia yake Sasa ikamwambia Yuko under heavy surveillance . Alikuwa sahihi . Kuna parcel iliwasili kutoka London na ikatua ofisi ya Oleg . parcel hiyo ilikuwa imeandikwa kwa juu "Mr Grushko's eyes only" na ilipaswa parcel hii ifike ofisini kwa Grushko. Parcel hii ilikuwa na documents muhimu ambazo Oleg aliziacha ofisini mwake akiwa London. A WARNING..... kwamba harudi Tena London? au ni KGB wanaendelea kukusanya ushahidi?[emoji848][emoji848] Kiufupi Sasa Oleg alikuwa Hana jinsi Tena zaidi ya kusubiri tu risasi ya kichwa. Jioni ya siku hiyo Oleg alipiga simu kwa mkewe London alimuuliza tu kwa kifupi watoto wanaendeleaje shuleni na mkewe akamjibu tu wapo vizuri na mwisho Oleg akakata simu.
Siku Moja Oleg akiwa na gribin rafiki yake , walikuwa wanapiga stori mbili tatu ,gribin akamuuliza vipi maisha ya London na familia yameendaje akiwa huko..Sasa Oleg akaanza kufunguka kwamba Sasa hivi wanawe wamekua,na sahivi watoto wake wanajua kusali Sala ya baba yetu kwa kingereza. Kwa msikilizaji wa kawaida unaweza kusema Oleg ni baba Bora ,kwamba ni responsible father,lakini kwa Gribin ,afisa mbobevu wa KGB hakuwa anasikiliza tu hizi story juu juu. Ni kwamba alikuwa anamfanyia Oleg a brutal psychological test pasipo Oleg kushtuka . Na clue aliyoipata namba Moja kwa Oleg ni kwamba alikuwa obsessed na umagharibi sana. Badala awafundishe wanae Sala za ki orthodox za kirussia ,yeye anawafundisha Sala ya baba yetu Tena kwa kingereza? gribin aliwaza kwa mbaaalii.
Hilo likapita.
Tarehe 27 mei majira ya asubuhi Oleg alikurupuka akiwa kwenye wenge la usingizi kutokana na kutolala vya kutosha usiku. Kabla ya kuondoka alikunywa vidonge Fulani vyenye caffeine aliyopewa na mwanamama Oliver price kabla ya kuondoka London. Vidonge hivi vilimsaidia kumuondolea uchovu wa asubuhi.
Alipokuwa ofisini kitengoni haelewi nini kinaendelea simu ikaita ilitoka kwa victor Grushko . maelekezo ni kwamba Oleg alipaswa kukutana na watu wawili kwa ajili ya ku discuss maswala kadhaa ya huko uingereza ikiwemo ku penetrate majasusi nchini uingereza. Na majadiliano yatafanyika nje ya jengo . Haikuwa ya kawaida hii......
Oleg akafuata maelekezo kama yalivyotaka. Akatoka ofisini akiacha briefcase yake na kutoka Hadi kwenye parking ya magari na muda mfupi bwana Grushko akatokea akimtaka Oleg aingie siti ya nyuma ya gari na Grushko akafuata. baada ya muda kidogo alijitokeza dereva kwenye geti la nyuma la sehemu hiyo ya park wakapanda na kuondoka wakaenda umbali kama nusu maili hivi. walisimama kwenye jengo Moja lenye ukuta mrefu kiasi ,amabalo lilikuwa likitumika na idara ya FCD katika kuwahifadhi wageni na wanaotembelea kitengo. baada ya kufika na kushuka Grushko akamwelekeza Oleg waingie kwenye Moja ya nyumba ndogo kiasi . Mlangoni , mapokezi walikutana na mwanaume wa makamo na mwana dada.hawa walikuwa ni watu wa stewards wakamsalimia Oleg vizuri kama mgeni wa nje ya nchi aliyekuja kuwatembelea .[emoji28][emoji28].
Baada ya kuingia na kukaa bwana Grushko akamimina whiskey ya Armenia kwenye glasi na kuanza kunywa ,huku wale stewards wakiandaa maakuli mezani . Hayo yote yakiendelea ,ghafla waliingia wanaume wawili ambao Oleg hakuweza kuwatambua kwa haraka. Mmoja wa wanaume hao mkubwa kiumri kiasi alikuwa ndani ya suti nyeusi ,mwenye uso ulikunjamana kama ngozi na pia akionekana ni mpiga gambe mzuri na ni mvutaji mzuri wa sigara. Huyo mwingine aliyekuwa kijana kiasi alikuwa ni wa kawaida mwenye uso mpana kiasi. Hakuna aliyetabasamu . Na bwana Grushko hakufanya utambulisho zaidi ya kumwambia Oleg watu hawa wanataka kuongea na yeye kuhusiana na namna ya kumweka na kupandikiza jasusi muhimu ndani ya uingereza. Hakika bwana Oleg taa ya hatari kwa wakati huo iliendelea kuwaka. Lakini Grushko akasema ngoja kwanza wamalize kupata maakuli kwanza na vinywaji . Oleg akaendelea kupata kinywaji .ikaletwa whiskey nyingine wakaendelea kunywa zaidi. Hawa jamaa wawili wageni walikuwa hawazungumzi lolote zaidi ya gambe na kuvuta sigara zile wanaita shisha.
Lakini ghafla katika Hali isiyotarajiwa ,Oleg alianza kuona maruerue . alijihisi kama kwenye ulimwengu mwingine wa ndoto akijitazama yeye mwenyewe ndani ya lensi huku Hana uelewa ni Nini kinaendelea. Kwa kifupi alikuwa amedata kama wale watumiaji wa madawa ya kulevya .
Kwa kifupi ni kwamba kinywaji Cha Oleg kilichanganywa na dawa Fulani ya majimaji iliyoitwa truth serum au jina lingine iliitwa SP-117 serum au kwa jina rasmi ni sodium thiopental.Ni kemikali isiyokuwa na rangi Wala harufu ambayo ipo kwenye kundi Moja na zile kemikali zinazotumika kwenye nusu kaputi hospitalini. Ni kwamba kemikali hii huitwa truth serum iliyokuwa Ina uwezo wa kumlewesha mtu na kuanza kuropoka hovyo na kutema Siri zote ambazo hakupaswa kuzisema. Wakati hao jamaa wengine wamemiminiwa wa kwanza whiskey hiyo , whiskey nyingine aliyomiminiwa Oleg tayari ilikuwa imechanganywa na truth serum hivyo pombe ilipomiminwa ikawa diluted na akapewa Oleg kama cocktail.
Kwa kifupi wanaume hao walikuwa ni general Sergei golubev na mwingine ni alikuwa ni kanali victor budanov wapelelezi maalumu wa kitengo Cha KGB ndani ya idara ya FCD. Wakaanza kumuuliza maswali na Oleg akajikuta anajibu pasipo kuelewa Nini haswa alikuwa anajibu Nini . Lakini at least sehemu ya ubongo wake ilikuwa inafanya kazi.
Oleg ni kwamba alishawahi kusikia kwamba KGB wanatumia drugs katika kuwahoji watuhumiwa lakini hakutegemea kwamba hii njia ingetumika dhidi yake. Kwa dakika Tano zilizofuata Oleg hakujua Nini kilikuwa kinaendelea dhidi yake,kutokana Hali ya maruerue aliyokuwa nayo. Lakini kwakuwa sehemu ya akili yake ilikuwa inafanya kazi wazo lilimjia haijalishi aliropoka ukweli au la lakini ali stick kwenye maneno mawili akilini mwake NEVER CONFESS ,..........
kwa kifupi aliendelea kuhojiwa akiwa katika Hali ya nusu anajitambua nusu hajitambui ,half conscious .
Na mwisho wale interrogators wakamwambia wanajua yeye ni British spy hivyo akiri kosa na kuungama [emoji28][emoji28]. Oleg akawajibu Hana kukiri na Wala ku confess. Alikataa katu hakufanya hivyo. Kwa kifupi Oleg alijikuta anatambaa Hadi bafuni kutapika hovyo kutokana na kichefuchefu. Walimwangalia kwa kinyaa kutokana na hali aliyokuwa nayo,akaomba maji na kuyagugumia yote mengine yakimwagikia shati lake kifuani. Swali lingine wakamuuliza anawezaje kuwa mkomunisti halafu akaruhusu wanawe wawe wanasali Sala ya baba yetu? Hakujua ajibu nini.
Akaulizwa unamfahamu Richard bromhead akasema ndio , na alikutana nae kipindi akiwa Denmark . Akaulizwa Tena Je huyo ndiye aliyekupa kazi ya kuwafanyia kazi M16. akaendelea kukana tuhuma . Akaendelea kuambiwa hata simu aliyopiga uingereza kwa mkewe kuwajulia Hali wanawe ni signal anawapa M16 Hivyo akiri kosa . Oleg akaendelea kukaza na kukana.
lakini kwa zaidi ya masaa matano Hali yake ilizidi kuwa mbaya akijihisi Hali ya uchovu wa kifo akazima.
Baadaye alipozinduka alijikuta yupo kitandani asubuhi yake . Akiwa yupo na vest na bukta tu peke yake [emoji1].Hakujua yupo wapi wakati huo akiwa na wenge asijue Nini kimemkuta, Lakini kumbukumbu ziliporudi akawaza akijua Sasa rasmi KGB wameshajua kila kitu. Akanyanyuka na kuvaa suti yake . Ghafla wakatokea jamaa wale waliokuwa wanamhoji wakamtazama Kisha bwana Budanov akamwambia tu yote uliyoyasema watayafanyia kazi kuyadhibitisha. Na Kisha akaagiziwa taksi akapelekwa Hadi kwenye makazi yake mitaa ya Leninsky prospekt.Kwa kuwa aliacha funguo zake ofisini akaenda Moja kwa Moja kwa jirani yake ambaye ni fundi hivi akampa finguo bandia , Kisha akaingia ndani. Kwa muda huo Sasa alianza kukumbuka kila lililotokea jana yake .
Akaanza kuwaza Siri alizotema na kulazimishwa ku confess lakini akakataa katu. Kwa kifupi ni kwamba mchanganyiko wa kemikali ya truth serum haikufanya kazi 100%. Hii ni kutokana na vidonge vya kupunguza uchovu alivyokunywa asubuhi ya siku aliyoenda kukutana na haya madhila.
Huko London mkewe alipaniki kutokana na mmewe kutokupiga simu . Lakini asubuhi ya tarehe 28 may alipokea ujumbe kutoka ubalozini ukimtaka ajiandae yeye na watoto wake kwa ajili ya safari ya kurudi Russia . Na aliyetumwa ujumbe huu akaendelea kusema kwamba Oleg alipata shida kidogo ya afya akapelekwa hospital ,hivyo atakuwa sawa . wanawe walifurahi kutokana na kupata likizo ya ghafla ya kwenda Moscow..... laiti wangejua

Huku upande wa oleg baada ya kuamka akiwa na uchovu kutokana na yaliyomkuta akajiandaa kama kawaida na kuelekea ofisini makao makuu kama kawaida kama hakuna kitu kilichotokea .Huku akilini mwake akiwaza labda hii ndio siku yake ya mwisho.
Na kweli alipofika ofisini muda mchache tokea awasili simu ikaita mezani mwake anahitajika ofisini kwa bwana Grushko. alikuta Baraza la wakuu wa kitengo waliokuwa wamekaa nyuma ya meza Pana akaalikwa kukaa. Ilikuwa ni kama Baraza la mahakama. Alisomewa tuhuma zote zilizokuwa zinamkabili , na mwisho akaambiwa uteuzi wake mjini London umekuwa terminated na atakuwa hapo makao makuu na pia akaambiwa vitabu vyote vya kimagharibi anavyomiliki aviwasilishe kwenye idara ya FCD na mwisho zaidi akaambiwa asidhubutu kamwe kujaribu KUPIGA SIMU LONDON.
Hilo likapita pasipo kujibu na akarudi ofisini
Akiwa yupo nyumbani kwake huko Leninsky prospekt akawa anatafakari kilichokuwa kinaendelea akiamini yupo kwenye ndoto anatamani kuamka ,lakini ndio uhalisia huo. Aliwaza endapo KGB wangejua ukweli wote kumhusu basi alikuwa anamalizwa muda wowote ,hivyo mpaka muda huo kwa kuwa bado alikuwa hai basi KGB hawakuwa na ushahidi wa kutosha kumkuta na hatia red handed . Kwa mujibu wa taratibu za KGB afisa mwenye cheo Cha kanali ilikuwa sio rahisi kumtia hatiani pasipo kuwa na ushahidi wa kutosha na pia ikiwa amekutwa basi hawezi kupitia mateso makali Ili akiri kosa . Aliendelea kuwaza ,hata kama sio Leo au kesho lazima KGB watamtia hatiani wakiendelea na uchunguzi dhidi yake . Hivyo Oleg aliamini sasa KGB wanacheza mchezo utakaochukua muda mrefu wa paka na panya dhidi yake. Naye aliamini ni panya hivyo kama mchezo ulivyo,Paka akishatosheka kucheza na panya ,mwishoni anamuua na kumla.
Aliamua kujiongeza..
 
Hii story kuna kitu cha msingi sana imetufundisha nacho ni kwamba West walikuwa smart sana kwenye kuplan UJASUSI wao kuliko East au soviet. Na hichi kitu pekee ndio kilimuokoa huyu Oleg gordievskjy
Lakini kinachoendelea kwenye vita ya Russia na Ukraine kinasema tofauti na kauli yako mkuu. EaSt wanaonekana kuwa smart kuliko west.
 
IMG_20230505_134605_360.jpg

Huyu ni kanali victor Grushko mwenye asili ya Ukraine naibu wa kitengo Cha FCD .Huyu pamoja na Budanov walihusika katika kumfanyia interrogation bwana Oleg
 
Binafsi naona Oleg alikua na sababu kuntu kuliko Ames, Oleg hakupenda mfumo, si ajabu mfumo ungebadilika angekua upande wa Russia.

Ila huyu chapombe Ames yeye nia tamaa za mwanamke tu unauza nchi.
Oleg alikuwa fala kiasi yeye kama balozi why haku recommend kubadilisha mambo Kwa kujifanya amezinyaka kutoka uingereza ili wawe Bora zaidi kuliko hyo kuuza mechi angetakiwa awe part of change
 
Aloo amechoropoka....!!!😄 Huyu jamaa kama Jini vile dah
 
Ujasusi bana.. Kuna story ya jasusi WA kike alikuwa mrembo balaaa! Alikuwa akigawa papuchi kwa vigogo nakupewa Siri za nchi nakuzipeleka nchini mwao..
Hivi mbinu hii kijasusi inatumika nakutambulika au bi dada aliamua kujirahisishia kazi tu... Na huwa hawana waume (ndoa)?
 
Hiyo wenye taaluma Yao huiita Honey Trap
 
Oleg alikuwa fala kiasi yeye kama balozi why haku recommend kubadilisha mambo Kwa kujifanya amezinyaka kutoka uingereza ili wawe Bora zaidi kuliko hyo kuuza mechi angetakiwa awe part of change
Mkuu hapo ni sawa na kumtaka pope wa kikatoriki awe muislam au mufti mkuu awe mkristo.
Kwa kipindi kile kuonesha umagharibi kidogo tu unatiliwa mashaka.
Na Oleg asingekua double agent vita ingetokea ujue..
 
Na kwa mujibu wa hii story ni CIA na M16 ndio walioepusha hii vita isitokee maana kwa taarifa za siri walizokuwa wanazipata ni wazi kuwa hata vita hiyo wangeshinda bila kikwazo chochote ni basi tu kwamba waliamua kuzitumuia taarifa hizo positively na busara ya hali ya juu kuepusha vita ila wangekuwa na pride labda leo tungekuwa tunaongea mengine
Hapo kwenye kushinda vita,umerahisisha sana.
 
Mkuu hapo ni sawa na kumtaka pope wa kikatoriki awe muislam au mufti mkuu awe mkristo.
Kwa kipindi kile kuonesha umagharibi kidogo tu unatiliwa mashaka.
Na Oleg asingekua double agent vita ingetokea ujue..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
31

Baada ya kufika kwa Grushko swali la kwanza aliloulizwa ni kuhusiana na yaliyompata Michael bettaney huko uingereza. Na swali lingine aliulizwa ni kuhusiana na kufukuzwa kwa bwana Arkadi guk nchini uingereza. Oleg akamjibu kwamba huenda guk alifukuzwa kutokana na makosa yake binafsi ya kujifanya ni KGB kwa hiyo uingereza hawakufurahishwa.[emoji38][emoji38]. lilikuwa ni swali la mtego sana hili.Akarudi ofisini mwake na baadaye akarudi nyumbani Kwa lift aliyopewa na gribin afisa mwenzake. Na kesho yake akarudi tena na maswali yakawa ni Yaleyale yasiyoeleweka. Hisia yake Sasa ikamwambia Yuko under heavy surveillance . Alikuwa sahihi . Kuna parcel iliwasili kutoka London na ikatua ofisi ya Oleg . parcel hiyo ilikuwa imeandikwa kwa juu "Mr Grushko's eyes only" na ilipaswa parcel hii ifike ofisini kwa Grushko. Parcel hii ilikuwa na documents muhimu ambazo Oleg aliziacha ofisini mwake akiwa London. A WARNING..... kwamba harudi Tena London? au ni KGB wanaendelea kukusanya ushahidi?[emoji848][emoji848] Kiufupi Sasa Oleg alikuwa Hana jinsi Tena zaidi ya kusubiri tu risasi ya kichwa. Jioni ya siku hiyo Oleg alipiga simu kwa mkewe London alimuuliza tu kwa kifupi watoto wanaendeleaje shuleni na mkewe akamjibu tu wapo vizuri na mwisho Oleg akakata simu.
Siku Moja Oleg akiwa na gribin rafiki yake , walikuwa wanapiga stori mbili tatu ,gribin akamuuliza vipi maisha ya London na familia yameendaje akiwa huko..Sasa Oleg akaanza kufunguka kwamba Sasa hivi wanawe wamekua,na sahivi watoto wake wanajua kusali Sala ya baba yetu kwa kingereza. Kwa msikilizaji wa kawaida unaweza kusema Oleg ni baba Bora ,kwamba ni responsible father,lakini kwa Gribin ,afisa mbobevu wa KGB hakuwa anasikiliza tu hizi story juu juu. Ni kwamba alikuwa anamfanyia Oleg a brutal psychological test pasipo Oleg kushtuka . Na clue aliyoipata namba Moja kwa Oleg ni kwamba alikuwa obsessed na umagharibi sana. Badala awafundishe wanae Sala za ki orthodox za kirussia ,yeye anawafundisha Sala ya baba yetu Tena kwa kingereza? gribin aliwaza kwa mbaaalii.
Hilo likapita.
Tarehe 27 mei majira ya asubuhi Oleg alikurupuka akiwa kwenye wenge la usingizi kutokana na kutolala vya kutosha usiku. Kabla ya kuondoka alikunywa vidonge Fulani vyenye caffeine aliyopewa na mwanamama Oliver price kabla ya kuondoka London. Vidonge hivi vilimsaidia kumuondolea uchovu wa asubuhi.
Alipokuwa ofisini kitengoni haelewi nini kinaendelea simu ikaita ilitoka kwa victor Grushko . maelekezo ni kwamba Oleg alipaswa kukutana na watu wawili kwa ajili ya ku discuss maswala kadhaa ya huko uingereza ikiwemo ku penetrate majasusi nchini uingereza. Na majadiliano yatafanyika nje ya jengo . Haikuwa ya kawaida hii......
Oleg akafuata maelekezo kama yalivyotaka. Akatoka ofisini akiacha briefcase yake na kutoka Hadi kwenye parking ya magari na muda mfupi bwana Grushko akatokea akimtaka Oleg aingie siti ya nyuma ya gari na Grushko akafuata. baada ya muda kidogo alijitokeza dereva kwenye geti la nyuma la sehemu hiyo ya park wakapanda na kuondoka wakaenda umbali kama nusu maili hivi. walisimama kwenye jengo Moja lenye ukuta mrefu kiasi ,amabalo lilikuwa likitumika na idara ya FCD katika kuwahifadhi wageni na wanaotembelea kitengo. baada ya kufika na kushuka Grushko akamwelekeza Oleg waingie kwenye Moja ya nyumba ndogo kiasi . Mlangoni , mapokezi walikutana na mwanaume wa makamo na mwana dada.hawa walikuwa ni watu wa stewards wakamsalimia Oleg vizuri kama mgeni wa nje ya nchi aliyekuja kuwatembelea .[emoji28][emoji28].
Baada ya kuingia na kukaa bwana Grushko akamimina whiskey ya Armenia kwenye glasi na kuanza kunywa ,huku wale stewards wakiandaa maakuli mezani . Hayo yote yakiendelea ,ghafla waliingia wanaume wawili ambao Oleg hakuweza kuwatambua kwa haraka. Mmoja wa wanaume hao mkubwa kiumri kiasi alikuwa ndani ya suti nyeusi ,mwenye uso ulikunjamana kama ngozi na pia akionekana ni mpiga gambe mzuri na ni mvutaji mzuri wa sigara. Huyo mwingine aliyekuwa kijana kiasi alikuwa ni wa kawaida mwenye uso mpana kiasi. Hakuna aliyetabasamu . Na bwana Grushko hakufanya utambulisho zaidi ya kumwambia Oleg watu hawa wanataka kuongea na yeye kuhusiana na namna ya kumweka na kupandikiza jasusi muhimu ndani ya uingereza. Hakika bwana Oleg taa ya hatari kwa wakati huo iliendelea kuwaka. Lakini Grushko akasema ngoja kwanza wamalize kupata maakuli kwanza na vinywaji . Oleg akaendelea kupata kinywaji .ikaletwa whiskey nyingine wakaendelea kunywa zaidi. Hawa jamaa wawili wageni walikuwa hawazungumzi lolote zaidi ya gambe na kuvuta sigara zile wanaita shisha.
Lakini ghafla katika Hali isiyotarajiwa ,Oleg alianza kuona maruerue . alijihisi kama kwenye ulimwengu mwingine wa ndoto akijitazama yeye mwenyewe ndani ya lensi huku Hana uelewa ni Nini kinaendelea. Kwa kifupi alikuwa amedata kama wale watumiaji wa madawa ya kulevya .
Kwa kifupi ni kwamba kinywaji Cha Oleg kilichanganywa na dawa Fulani ya majimaji iliyoitwa truth serum au jina lingine iliitwa SP-117 serum au kwa jina rasmi ni sodium thiopental.Ni kemikali isiyokuwa na rangi Wala harufu ambayo ipo kwenye kundi Moja na zile kemikali zinazotumika kwenye nusu kaputi hospitalini. Ni kwamba kemikali hii huitwa truth serum iliyokuwa Ina uwezo wa kumlewesha mtu na kuanza kuropoka hovyo na kutema Siri zote ambazo hakupaswa kuzisema. Wakati hao jamaa wengine wamemiminiwa wa kwanza whiskey hiyo , whiskey nyingine aliyomiminiwa Oleg tayari ilikuwa imechanganywa na truth serum hivyo pombe ilipomiminwa ikawa diluted na akapewa Oleg kama cocktail.
Kwa kifupi wanaume hao walikuwa ni general Sergei golubev na mwingine ni alikuwa ni kanali victor budanov wapelelezi maalumu wa kitengo Cha KGB ndani ya idara ya FCD. Wakaanza kumuuliza maswali na Oleg akajikuta anajibu pasipo kuelewa Nini haswa alikuwa anajibu Nini . Lakini at least sehemu ya ubongo wake ilikuwa inafanya kazi.
Oleg ni kwamba alishawahi kusikia kwamba KGB wanatumia drugs katika kuwahoji watuhumiwa lakini hakutegemea kwamba hii njia ingetumika dhidi yake. Kwa dakika Tano zilizofuata Oleg hakujua Nini kilikuwa kinaendelea dhidi yake,kutokana Hali ya maruerue aliyokuwa nayo. Lakini kwakuwa sehemu ya akili yake ilikuwa inafanya kazi wazo lilimjia haijalishi aliropoka ukweli au la lakini ali stick kwenye maneno mawili akilini mwake NEVER CONFESS ,..........
kwa kifupi aliendelea kuhojiwa akiwa katika Hali ya nusu anajitambua nusu hajitambui ,half conscious .
Na mwisho wale interrogators wakamwambia wanajua yeye ni British spy hivyo akiri kosa na kuungama [emoji28][emoji28]. Oleg akawajibu Hana kukiri na Wala ku confess. Alikataa katu hakufanya hivyo. Kwa kifupi Oleg alijikuta anatambaa Hadi bafuni kutapika hovyo kutokana na kichefuchefu. Walimwangalia kwa kinyaa kutokana na hali aliyokuwa nayo,akaomba maji na kuyagugumia yote mengine yakimwagikia shati lake kifuani. Swali lingine wakamuuliza anawezaje kuwa mkomunisti halafu akaruhusu wanawe wawe wanasali Sala ya baba yetu? Hakujua ajibu nini.
Akaulizwa unamfahamu Richard bromhead akasema ndio , na alikutana nae kipindi akiwa Denmark . Akaulizwa Tena Je huyo ndiye aliyekupa kazi ya kuwafanyia kazi M16. akaendelea kukana tuhuma . Akaendelea kuambiwa hata simu aliyopiga uingereza kwa mkewe kuwajulia Hali wanawe ni signal anawapa M16 Hivyo akiri kosa . Oleg akaendelea kukaza na kukana.
lakini kwa zaidi ya masaa matano Hali yake ilizidi kuwa mbaya akijihisi Hali ya uchovu wa kifo akazima.
Baadaye alipozinduka alijikuta yupo kitandani asubuhi yake . Akiwa yupo na vest na bukta tu peke yake [emoji1].Hakujua yupo wapi wakati huo akiwa na wenge asijue Nini kimemkuta, Lakini kumbukumbu ziliporudi akawaza akijua Sasa rasmi KGB wameshajua kila kitu. Akanyanyuka na kuvaa suti yake . Ghafla wakatokea jamaa wale waliokuwa wanamhoji wakamtazama Kisha bwana Budanov akamwambia tu yote uliyoyasema watayafanyia kazi kuyadhibitisha. Na Kisha akaagiziwa taksi akapelekwa Hadi kwenye makazi yake mitaa ya Leninsky prospekt.Kwa kuwa aliacha funguo zake ofisini akaenda Moja kwa Moja kwa jirani yake ambaye ni fundi hivi akampa finguo bandia , Kisha akaingia ndani. Kwa muda huo Sasa alianza kukumbuka kila lililotokea jana yake .
Akaanza kuwaza Siri alizotema na kulazimishwa ku confess lakini akakataa katu. Kwa kifupi ni kwamba mchanganyiko wa kemikali ya truth serum haikufanya kazi 100%. Hii ni kutokana na vidonge vya kupunguza uchovu alivyokunywa asubuhi ya siku aliyoenda kukutana na haya madhila.
Huko London mkewe alipaniki kutokana na mmewe kutokupiga simu . Lakini asubuhi ya tarehe 28 may alipokea ujumbe kutoka ubalozini ukimtaka ajiandae yeye na watoto wake kwa ajili ya safari ya kurudi Russia . Na aliyetumwa ujumbe huu akaendelea kusema kwamba Oleg alipata shida kidogo ya afya akapelekwa hospital ,hivyo atakuwa sawa . wanawe walifurahi kutokana na kupata likizo ya ghafla ya kwenda Moscow..... laiti wangejua

Huku upande wa oleg baada ya kuamka akiwa na uchovu kutokana na yaliyomkuta akajiandaa kama kawaida na kuelekea ofisini makao makuu kama kawaida kama hakuna kitu kilichotokea .Huku akilini mwake akiwaza labda hii ndio siku yake ya mwisho.
Na kweli alipofika ofisini muda mchache tokea awasili simu ikaita mezani mwake anahitajika ofisini kwa bwana Grushko. alikuta Baraza la wakuu wa kitengo waliokuwa wamekaa nyuma ya meza Pana akaalikwa kukaa. Ilikuwa ni kama Baraza la mahakama. Alisomewa tuhuma zote zilizokuwa zinamkabili , na mwisho akaambiwa uteuzi wake mjini London umekuwa terminated na atakuwa hapo makao makuu na pia akaambiwa vitabu vyote vya kimagharibi anavyomiliki aviwasilishe kwenye idara ya FCD na mwisho zaidi akaambiwa asidhubutu kamwe kujaribu KUPIGA SIMU LONDON.
Hilo likapita pasipo kujibu na akarudi ofisini
Akiwa yupo nyumbani kwake huko Leninsky prospekt akawa anatafakari kilichokuwa kinaendelea akiamini yupo kwenye ndoto anatamani kuamka ,lakini ndio uhalisia huo. Aliwaza endapo KGB wangejua ukweli wote kumhusu basi alikuwa anamalizwa muda wowote ,hivyo mpaka muda huo kwa kuwa bado alikuwa hai basi KGB hawakuwa na ushahidi wa kutosha kumkuta na hatia red handed . Kwa mujibu wa taratibu za KGB afisa mwenye cheo Cha kanali ilikuwa sio rahisi kumtia hatiani pasipo kuwa na ushahidi wa kutosha na pia ikiwa amekutwa basi hawezi kupitia mateso makali Ili akiri kosa . Aliendelea kuwaza ,hata kama sio Leo au kesho lazima KGB watamtia hatiani wakiendelea na uchunguzi dhidi yake . Hivyo Oleg aliamini sasa KGB wanacheza mchezo utakaochukua muda mrefu wa paka na panya dhidi yake. Naye aliamini ni panya hivyo kama mchezo ulivyo,Paka akishatosheka kucheza na panya ,mwishoni anamuua na kumla.
Aliamua kujiongeza..
Jamaa ana bahati sana.... luck was on his side...ndio maana mpaka sasa yupo hai.
 
kwa mtazamo wa haraka haraka tu West wangeshinda vita, refer Umoja waliokuwa nao yaani West + Us + support ya nchi nyingine duniani. Kumbuka kipindi hicho ndio soviet ilikuwa inaanguka na kukimbiwa na wanachama wengi
Hakuna ambaye angeshinda maana ingekuwa vita ya Nyuklia pia Soviet kipindi hiko ilikuwa imeshajiandaa haswa

Kama miaka 1960s Nikita Krushev alitaka kutumia silaha za Nyuklia kwenye mgogoro wa Cuba na Marekani , sembuse miaka ya 1980s

West wote walikuwa wanamuogopa USSR kama ilivyo Sasa wanamuogopa Urusi

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom