Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Yeye alikuwa na shida ya hela hyo waweza elewa, Sasa hutaki hela unatoa tu Bure haloo.
Ila wote tu hapo hamnazo na recruitment Yao haifanyika kiumakini wala
Mbona Oleg alianza kulipwa hela?
Mwanzo aligoma kupokea hela kuhofia kushtukiwa lakini baadae alianza kupokea hela.
 
emoji38.png
Oleg aliponyoka mkuu.
Sema nisiseme kupoteza Radha ya story.

Ila Ames alidakwa yupo sello.
Record yake imevunjwa juzi juzi na hassen 2001
Hii story kuna kitu cha msingi sana imetufundisha nacho ni kwamba West walikuwa smart sana kwenye kuplan UJASUSI wao kuliko East au soviet. Na hichi kitu pekee ndio kilimuokoa huyu Oleg gordievskjy
[emoji38]Oleg aliponyoka mkuu.

West hawakuwa smart sema Oleg ndio aliwasaidia maana alikuwa na access na taarifa nyeti so sioni u smart wamshukuru Oleg alivowasaidia na wao wakamuokoa.
So ilikuwa kufa kufaana
 
Yeah, hata mm naona hivyo but sijui kwanini inapaishwa sana KGB kuliko CIA au M16! Tena sasa hivi watu wanavyomzungumzia Putin as kachero mstaafu mmbobezi as if hakukuwa kama yeye ilhali kuna wana hawana majina Lkn ni hatari sana.
Ukisoma hii story sijui kipindi hicho Putin alikuwa wapi!?
 
Kama yule wa tutashtakiwa Miga naye yupo kwenye payroll somewhere.

Je,ni sahihi kwa alichofanyiwa kipindi kile kwa ku refer kauli yako???
Sawa tu msaliti si wakumchekea huyo ni zaidi ya ibilisi uyuda wake unaleta madhara makubwa Kwa watu wengi.
Hafu hii story inaonyesha ni jinsi Gani hata wanasiasa wetu walivo Rais kutumika na mataifa ya nje hata hao waliojifanya kukimbia nchi wafadhili waliwatorosha, ingawa nilikuwa sikubaliani na madudu yaliyokuwa yanaendelea nchi ikiwemo uchaguzi wa hovyo
 
Yeah, hata mm naona hivyo but sijui kwanini inapaishwa sana KGB kuliko CIA au M16! Tena sasa hivi watu wanavyomzungumzia Putin as kachero mstaafu mmbobezi as if hakukuwa kama yeye ilhali kuna wana hawana majina Lkn ni hatari sana.
Ukisoma hii story sijui kipindi hicho Putin alikuwa wapi!?
KGB nadhani walikuwa wanasifika kwa ukatili tu na si kingine. Think tank yao ilikuwa poor sana. Ila pia kingine ni kwamba kitu chochote ambacho hakijiexpose sana hutokea tu kuogopwa ukilinganisha na kitu ambacho kiko wazi.
 
West hawakuwa smart sema Oleg ndio aliwasaidia maana alikuwa na access na taarifa nyeti so sioni u smart wamshukuru Oleg alivowasaidia na wao wakamuokoa.
So ilikuwa kufa kufaana
Kuna msemo unasema "kama huoni udhaifu wako basi huo ndio udhaifu wenyewe" 😂 😂 😂

Kitendo cha kuweza kumpata Jasusi wa upande wa pili, kutumia na kumtorosha bila shida hii ni udhaifu mkubwa kwa KGB
 
KGB nadhani walikuwa wanasifika kwa ukatili tu na si kingine. Think tank yao ilikuwa poor sana. Ila pia kingine ni kwamba kitu chochote ambacho hakijiexpose sana hutokea tu kuogopwa ukilinganisha na kitu ambacho kiko wazi.
Fact...
 
Kuna msemo unasema "kama huoni udhaifu wako basi huo ndio udhaifu wenyewe" [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kitendo cha kuweza kumpata Jasusi wa upande wa pili, kutumia na kumtorosha bila shida hii ni udhaifu mkubwa kwa KGB
Sio udhaifu ni vile hawakufikiria possible options kuwa what if huyu atatoroka na kumbuka huo usaliti wa Oleg ni kama kuishi mume na mke unayemwamini sana ukute ndio anakuuza so kutoboa hapo ni ngumu mno
 
Back
Top Bottom