Tunayo safari ndefu tuko conservative mno imagine budget kubwa inatumika kulinda wanasiasa madarakani badala ya hyo nguvu kubwa kutumika Kwa ajili ya mstakabali na maendeleo ya nchi. We need reformation kulingana na nyakati za Sasa ni ujinga kuendelea kuwa maskini wakati we have all machinery to change. Miaka ya uhuru nchi ka china, malysia, tulikuwa almost the same kwenye maendeleo Yao, ila ilibidi wabadilike kulingana na nyakati, Sasa china inatishia kuipita USA kama superpower, sisi huku intelligence system inasifika kulinda wanasiasa na kuiba kura, ni aibu sana