Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Hata Urusi kuna aliowapa makaz na anawalinda kinomanoma km Snowden na wengineo
Snowden kesi yake ni ya tofauti. Alikimbilia Urusi baada ya kuyatibua kwake. Na ili kujitafutia usalama akacheza karata ili alindwe vizuri lazima akimbilie kwenye Taifa lenye nguvu shindani wa USA. Vinginevyo angekimbilia kwingine aither angekuwa amekamatwa au amerudishwa. Sasa nao urusi ili kuendelea kujionyesha ubabe kwa USA imebidi wamhifadhi kuendelea kuwakera USA na huyo ni karata yao nyingine,wamejiwekea akiba. Ipo siku watabadirishana huyo na mateka wao kutoka USA.
 
kwa mtazamo wa haraka haraka tu West wangeshinda vita, refer Umoja waliokuwa nao yaani West + Us + support ya nchi nyingine duniani. Kumbuka kipindi hicho ndio soviet ilikuwa inaanguka na kukimbiwa na wanachama wengi
Hapo mkuu ujue unabishana na walio upande wa Urusi mpaka kwenye vita ya sasa kati ya Urusi na Ukraine. Mpaka sasa nimegundua kuna mgawanyiko wa members hapa ubaoni walio upande wa West na east na mpaka kwenye vita vinavyoebdelea hivi sasa
 
Kim Philby mbona walimtunza na kumpa usalama
 
Kwa kilichompata Lissu sidhani kama ungekuwa hata wewe ungebaki nchini, wale jamaa waliishi maisha ya shida sana. Soma story moja Twitter kama sijakosea alitoa Meya Boniface wa Ubungo utaona maisha yao yalivyokuwa.
 
Abaki kufanya nini alikuwa puppet wao ndio maana embassy ilimsaidia hasa kipindi Cha zile case za madini yao
 
Wanasiasa na bongo muvi huwez watofautisha

Wanaigiza mpaka ktk mambo ya msingi ambayo yanahitaj usirias
 
Kwa kilichompata Lissu sidhani kama ungekuwa hata wewe ungebaki nchini, wale jamaa waliishi maisha ya shida sana. Soma story moja Twitter kama sijakosea alitoa Meya Boniface wa Ubungo utaona maisha yao yalivyokuwa.
Iweke hapa mkuu
 
Abaki kufanya nini alikuwa puppet wao ndio maana embassy ilimsaidia hasa kipindi Cha zile case za madini yao
Hakuna kiongozi wa kiafrika asiye puppet wa mataifa ya nje, viongozi wengi wamepata madaraka kwa support ya magharibi au mashariki.
 
Hakuna kiongozi wa kiafrika asiye puppet wa mataifa ya nje, viongozi wengi wamepata madaraka kwa support ya magharibi au mashariki.
Kazi ipo na hii ni changamoto ya nchi za Africa tuna puppets leaders and flag independence
 
Badiri hiyo I'd mkuu
 
Muda mwingine mkiwa mnasoma taarifa kama hizi muwe na tafakuri. Mmeambiwa kuanzia cheo Cha Kanali kinahitaji ushahidi ndio atuhumiwe, unadhani ukilichukua swala kama hilo kichwa kichwa utaleta picha gani Kwa Waandamizi wengine kama yeye.
Good
 
Na bahati mbaya sio leo kutokea kiongozi mwenye maono ya mbali akaliona hili kwamba aanzie kuliimalisha hili lidubwasha kuanzia kuifumua. Peleka watu wakosomee,mafunzo maalum.
 
Na bahati mbaya sio leo kutokea kiongozi mwenye maono ya mbali akaliona hili kwamba aanzie kuliimalisha hili lidubwasha kuanzia kuifumua. Peleka watu wakosomee,mafunzo maalum.
Shida watanzania hatutaki mabadiliko kulingana na nyakati hasa mafunzo ya juu ingawa Huwa wanaenda mafunzoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…