Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Aisee kazi kubwa inahitajika nikisoma hii story ina reflect mengi hata vita vya Ukraine si Bure Wala. Ila kuwekeza kwenye intelligence makini ni muhimu Kwa msitakabali wa taifa lolote makini
Kwetu sisi wako makini, ila wameingiza uchotora siku za karibuni...vijana wa chama.
Zamani vijana walikuwa wazalendo kwelikweli kutoka chamani. Siku hizi Mungu asaidie tu.
 
Ila hawajawa smart Kwa kiasi hicho tumeachwa mbali vilevile nchi yetu Haina mambo mengi.
Ila vijana wa chama mboga Huwa hawanaga akili na u smart wowote
 
Nilisoma sehemu kwenye hii issue ya Oleg nikaona kuna connection kubwa kati ya kipenyo na chama/watawala. Though kule America-CIA/FBI naona wana operate in a different modern way.
 
Tunapeleka kupata mafunzo Urusi, Israel China nk. baada ya 911, USA pia.
Siasa inachangia kuondoa weledi kwenye utendaji. Ila tunao watu mahiri SANA...ukiondoa tamaa ndogondogo za wanasiasa kuwatumia.
 
Na sisi huku vipenyo si ndio mboga za majani Ina make sense Sasa utampaje mtu nafasi anayeamini ideology nyingine atakuwa msaliti. I think hata uko USA Wana namna Yao ya ku recruit nadhani sifa mojawapo ni uzalendo
 
Duh kumbe huko kote Huwa wanaenda, Kuna mtu namfahamu Yani matendo yake alienda kusoma Israel na mafunzo ya juu na kaenda nchi mbalimbali Sasa nikisoma hii story nimeelewa vitu vingi.
Ila hivi inakuwaje wanasiasa waongo waongo kuvishinda vyombo nyeti kinguvu, why wanasiasa wako more powerful in our country Hadi kuharibu weledi?
 
U.S wao wanaangalia key stakeholders kufikia lengo ndio maana hata usishangae baadhi yao wapo humu,tangu wafanyiwe mbaya kule japan wamejichimbia kila kona ya dunia na nguzo ya kubwa ni ulaghai wa pesa kupata info.
 
Duh kumbe huko kote Huwa wanaenda, Kuna mtu namfahamu Yani matendo yake alienda kusoma Israel na mafunzo ya juu na kaenda nchi mbalimbali Sasa nikisoma hii story nimeelewa vitu vingi.
Ila hivi inakuwaje wanasiasa waongo waongo kuvishinda vyombo nyeti kinguvu, why wanasiasa wako more powerful in our country Hadi kuharibu weledi?
~Mosi mboga za majani ndio wapo vitengo nyeti
~pili wanasiasa ni mboga za majani
~tatu wanashare the same ideology ambayo ni solid state sio flexible
~nne waliopo vitengo wengi wanakuwa appointed na kazi ni kuprocess na kupendekeza na hawana maamuzi ya mwisho.
 
Duh kumbe huko kote Huwa wanaenda, Kuna mtu namfahamu Yani matendo yake alienda kusoma Israel na mafunzo ya juu na kaenda nchi mbalimbali Sasa nikisoma hii story nimeelewa vitu vingi.
Ila hivi inakuwaje wanasiasa waongo waongo kuvishinda vyombo nyeti kinguvu, why wanasiasa wako more powerful in our country Hadi kuharibu weledi?
Ni muundo tu kwamba wanasiasa ndio wana mamlaka na idara. Mkuu wa Wilaya anamuamrisha OCD. Ni muundo tu.
 
Ndio maana katiba ibadilishe mambo Sasa mwanasiasa anaangalia nafasi yake kuliko kuangalia masilahi mapana ya nchi. So it's dangerous ku handle all power Kwa politicians ambao ni corrupt wanaoangalia matumbo Yao, hao si rahisi kuwa kama Oleg
 
Sawasawa..
 
Back
Top Bottom