Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Nyie ndo imeifanya jamii forum ikimbiwe na wenye akili. Yaani wewe kwako hiyo sababu ni ndogo sana! Member wa mwaka huu lkn umeshajua na kutukana baba zako.View attachment 2612277
Ahahahaha..mkuu sasa wewe ndio unataka kuyafanya mambo yawe mengi na utanisamehe kama nikisema wewe hupend kuufikirisha ubongo wako!..

Ulipaswa kusema hivi " ID hii ni ngeni au mpya" na hilo sio guarantee ya mimi kuwa mgeni humu ndani.
Naweza fungua ID muda wowote kama nikiichoka ya zamani so try to be thoughtful atleast a bit.

Mwisho hao wenye akili humu JF acha wakimbie tuu maana hawana ambacho watafanya kikosekane.Wala JF haitakufa.

Waondoke tuuu watakuja wengine .

Sawa mtaalamu!???
Tuliza mshono
 
Kama ilivyosasa wanamuogopa Urusi! How? Mbona naona ni swala la muda tu urusi atatii amri. Juzi Kati alipiga kelele akilalamika Ukraine ilijaribu kumuua Putin kwa kupiga eneo Walilodhani alikuwepo Putin. Sasa Kama anga la mbabe wa vita linashambuliwa na silaha ya kitoto Kama hizo drones si inamaana anga la urusi halipo salama ? Au wamejilipua wenyewe wapate kibali cha kuingia mazima Ukraine? Au ni west wamefanya hivyo kama anavyotuhumu? Kama ni kweli west wamembeep kwa drones bado inatuonesha anaweza akachapika tu kama west wataingia mzigoni mazima.
Hapa mi ndiyo huwa ninalia na na watu ya nchi yangu katika uwezo wa kufikiri kwa kina!.
Yaani unataka tuamini kuwa mshindi hastahili kuguswa na ngumi yoyoye ya anayemshinda katika ulingo siyo!.
Watz bado tunasafari kubwa sana katika uwezo wetu wa kufikiri.
 
Kwa ufaham wangu huyu Oleg, hakuwa agent Mi6 wakt anapelekwa katika ubalozi wa Russia nchini Denmark. Maana Oleg, baba yake naye alikuwa KGB officer. Akiwa Denmark, alichukizwa na matendo ya Russia dhidi ya Czech, ndipo aliamua kubadili nia yake ya kuwa mtiifu kwa Russia. Simu yake moja kwa mkewe kuonyesha kuchukizwa na kitendo hicho cha Russia kwa Czech ndio ilitoa signal kwa shirika la intelligence la Denmark kwamba huenda Oleg anataka kuwa double agent.

Denmark kwakua hawakuwa na skills za kumtongoza high rank official na intel, wakawaomba wabia wao Mi6 wawasaidie. Kwahio hapa, ndipo Mi6 ilimnasa baada ya vikao kama viwili, na cha mwisho alicho insists Oleg kuwa, yupo tayr kwa kuongea nao kuwa double agent kwa sharti moja tu kikao kinacho fuata atakutana na waingereza pekee bila kuwepo raia yyte wa Danish.

Alifanya kazi ba Mi6 nadhani kwa miaka 4 hivi kwa ku leak top Russian secrets na micro films za raia wa Russia walio majajsusi Europe, pia maafisa na raia wa Europe wanaofanya kazi kwa russia. Baada ya miaka minne, alirudishwa russia makao makuu kgb, pale alikuwa ndio ana handle docs zote za siri za Europe nk.

Baada ya miaka minne, alipewa post ingine, safari hii alipelekwa London kwy ubalozi wa russia. Hapa ndio alifanya maangamizi makubwa kwa russia. According to Charles Powell, ambaye alikuwa mshauri wa usalama na katibu wa waziri mkuu Magret, anasema there was nothing more secret in uk than the existence of Oleg and who he was. Mawaziri wala nani, hamna aliemjua than Mi6.

Alipilirudishwa russia, Kwan upande Mi6, wao hawakufanye any attempt ya kuwasiliana naye, ila walimpaga Oleg namb maalum ya simu ya ku initiate mazungumzo wakati wowote wanapo potezana. Pia walipeana signal ya kushika plastic bag, sehm moja maalum nchini russia wakt wowote ikitokea anahisi anafuatiliwa na anahitaji atoroke. Na ili kujibu hii signal, ofisa wa Mi6 atattokea kutoka kwny crowd na kula brand fulani ya chocolate, kama majibu kuwa ameeleweka.

Katika mission zake zote hizo abroad hakuwa na mkewe, na hata siku anatoroka pia alimficha mkewe. Speeches as Reagan kuhusu nuclear, na ile pressure iliokuwa kubwa kuwa mda wowote vita utaanza, ilfanya russia ihisi kuna mtu ndani yao anatoa siri. Kumbuka kuwa CiA walaikuwa wakipewa " drip fed information on need to know basis kutoka kwa Mi6, swala ambalo liliwaudhi.

Kwahiyo CiA wakampa kazi mkuu wao wa CiA counter russia, ya kufuatilia source ya info wanazopata mi6. Ambacho CiA hawakakujua ni kuwa huyo afisa wao, Naye ni agent wa KGB. Huyu afsa ambaye baade CiA walimshtukia, alipopewa kazi hiyo na ili kutoonekana alikuwa compromised, alivujisha document Kibao ikiwepo hisia zake kwa newly appointed boss katika embassy ya Russia jijini London ambaye ni Oleg.

KGB walipoliona Jina lake kutoka kwa source yao, wakamwita arudi nyumbani haraka on pretext ya kulewa promotion. Oleg McHale zilimcheza, ila alijua kukaidi direct order kurudi russia itaonyesha wazi kuwa yupo guilty na angeshughulikiwa. Alirudi russia bila kuwaaga mi6. Alipofika haraka sana walimpeleka kwny jumba lao, wakatilia sumu ya kumlewesha, wakatocha lakn uzuri wa Oleg hakutoa siri ya uhusika wake na Mi6. Wakaamua kuchenj tactics kwa kumpa house arrest, na hapa ndipo baadae aliroroshwa, nadhani kwa operation ilioitwa piplico ..
Angemshirikishaga mkewe mambo yake angedakwa
 
Hapa mi ndiyo huwa ninalia na na watu ya nchi yangu katika uwezo wa kufikiri kwa kina!.
Yaani unataka tuamini kuwa mshindi hastahili kuguswa na ngumi yoyoye ya anayemshinda katika ulingo siyo!.
Watz bado tunasafari kubwa sana katika uwezo wetu wa kufikiri.
Mkuu hongera kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri! Lkn Point yangu sio kutokuguswa hata kdg bali ni kuguswa wapi kwa silaha gani na kwa kulengwa nani!? Hebu nisaidie kufikiria na hili na unisaidie uwelewa ndugu yako.
Drones zimepiga makazi ya raisi na zimelenga kumpiga na kumuua raisi! Kwa taifa kubwa Kama Russia tunajua linaweza kuguswa Kama unavyosema na nakubaliana na wewe kwenye hilo Lkn kuguswa direct kwenye makazi ya rais huoni Kama kuna udhaifu ama dharau fulani kwa taifa kubwa Kama hilo ambalo tunajua lina ulinzi mkubwa wa anga tena kuguswa/kushambuliwa na taifa dogo ambalo linaomba msaada wa silaha!? Taifa ambalo dogo sana kwa Russia, kiuchumi, kijeshi nk.

Tena linashambuliwa na drones wala sio mijidege mikubwa yakivita yakutisha ambayo hata majina yake kuyataja mtihani. Lkn drones hata Millard Ayo anazo anapigia picha [emoji2]..
Afadhali angeshambuliwa huko kwenye uwanja wa vita Lkn watu wameshambulia kwenye makazi ya rais! Ndugu huoni ni dharau hiyo!?
 
Kwa ufaham wangu huyu Oleg, hakuwa agent Mi6 wakt anapelekwa katika ubalozi wa Russia nchini Denmark. Maana Oleg, baba yake naye alikuwa KGB officer. Akiwa Denmark, alichukizwa na matendo ya Russia dhidi ya Czech, ndipo aliamua kubadili nia yake ya kuwa mtiifu kwa Russia. Simu yake moja kwa mkewe kuonyesha kuchukizwa na kitendo hicho cha Russia kwa Czech ndio ilitoa signal kwa shirika la intelligence la Denmark kwamba huenda Oleg anataka kuwa double agent.

Denmark kwakua hawakuwa na skills za kumtongoza high rank official na intel, wakawaomba wabia wao Mi6 wawasaidie. Kwahio hapa, ndipo Mi6 ilimnasa baada ya vikao kama viwili, na cha mwisho alicho insists Oleg kuwa, yupo tayr kwa kuongea nao kuwa double agent kwa sharti moja tu kikao kinacho fuata atakutana na waingereza pekee bila kuwepo raia yyte wa Danish.

Alifanya kazi ba Mi6 nadhani kwa miaka 4 hivi kwa ku leak top Russian secrets na micro films za raia wa Russia walio majajsusi Europe, pia maafisa na raia wa Europe wanaofanya kazi kwa russia. Baada ya miaka minne, alirudishwa russia makao makuu kgb, pale alikuwa ndio ana handle docs zote za siri za Europe nk.

Baada ya miaka minne, alipewa post ingine, safari hii alipelekwa London kwy ubalozi wa russia. Hapa ndio alifanya maangamizi makubwa kwa russia. According to Charles Powell, ambaye alikuwa mshauri wa usalama na katibu wa waziri mkuu Magret, anasema there was nothing more secret in uk than the existence of Oleg and who he was. Mawaziri wala nani, hamna aliemjua than Mi6.

Alipilirudishwa russia, Kwan upande Mi6, wao hawakufanye any attempt ya kuwasiliana naye, ila walimpaga Oleg namb maalum ya simu ya ku initiate mazungumzo wakati wowote wanapo potezana. Pia walipeana signal ya kushika plastic bag, sehm moja maalum nchini russia wakt wowote ikitokea anahisi anafuatiliwa na anahitaji atoroke. Na ili kujibu hii signal, ofisa wa Mi6 atattokea kutoka kwny crowd na kula brand fulani ya chocolate, kama majibu kuwa ameeleweka.

Katika mission zake zote hizo abroad hakuwa na mkewe, na hata siku anatoroka pia alimficha mkewe. Speeches as Reagan kuhusu nuclear, na ile pressure iliokuwa kubwa kuwa mda wowote vita utaanza, ilfanya russia ihisi kuna mtu ndani yao anatoa siri. Kumbuka kuwa CiA walaikuwa wakipewa " drip fed information on need to know basis kutoka kwa Mi6, swala ambalo liliwaudhi.

Kwahiyo CiA wakampa kazi mkuu wao wa CiA counter russia, ya kufuatilia source ya info wanazopata mi6. Ambacho CiA hawakakujua ni kuwa huyo afisa wao, Naye ni agent wa KGB. Huyu afsa ambaye baade CiA walimshtukia, alipopewa kazi hiyo na ili kutoonekana alikuwa compromised, alivujisha document Kibao ikiwepo hisia zake kwa newly appointed boss katika embassy ya Russia jijini London ambaye ni Oleg.

KGB walipoliona Jina lake kutoka kwa source yao, wakamwita arudi nyumbani haraka on pretext ya kulewa promotion. Oleg McHale zilimcheza, ila alijua kukaidi direct order kurudi russia itaonyesha wazi kuwa yupo guilty na angeshughulikiwa. Alirudi russia bila kuwaaga mi6. Alipofika haraka sana walimpeleka kwny jumba lao, wakatilia sumu ya kumlewesha, wakatocha lakn uzuri wa Oleg hakutoa siri ya uhusika wake na Mi6. Wakaamua kuchenj tactics kwa kumpa house arrest, na hapa ndipo baadae aliroroshwa, nadhani kwa operation ilioitwa piplico ..
Mkuu ungeanzisha na wewe uzi....
Kila mtu ana namna ya kupata info..
Wewe au mleta uzi mnaweza kuwa sahihi au kutokuwa sahihi wote.
 
Alichokuwa anakifanya Jiwe Si ndo ujamaa huo,..Wakazalishwa akina Oleg wengi ikiwemo Kigogo na Mange.,..ndo maana mwenda zake nchi ilimshinda
Nchi ilimshinda akaanza kuunda nchi nyingine ya Chato
 
33

Yote hayo yakiwa yanaendelea kwa upande wa Oleg , jijini London, makachero wa M16 bado walikuwa wanafikiria Nini kimemkuta bwana Oleg Kutokana kwamba mpaka muda huo hawakupata signal kutoka kwake. Hivyo plan ya kumtorosha ikawa ipo active Sasa. Ni kwamba makachero wa M16 kwa upande wa Moscow waliopaswa kupokea signal kutoka kwa Oleg walikuwa ni wafanyakazi wa ubalozi wa London hapo Moscow waliokuwa wanakaa kwenye maghorofa yaliopo kitongoji Cha Kutuzovsky prospekt karibu na mto wa Moscow. Upande wa pili kulikuwa na jengo kubwa lililoitwa hotel Ukraine. Hotel Ukraine lilikuwa mkabala na duka la mikate ..
Kwa mujibu wa plan ya kumtorosha Oleg ya PIMLICO, ilipaswa hawa maafisa kwa zamu wanafika kila mara kwenye duka Hilo la mkate kila jumanne majira ya saa Moja jioni Ili kupata signal kutoka kwa mtu aliyevaa suti ya grey na aliyebeba mfuko wa Safeway bag (Oleg) naye akizuga kama mnunuaji mkate,kama ishara ya kumaanisha operation ianze. Hivyo Mmoja wa afisa wa M16 alipaswa kufika duka Hilo akizuga kununua mkate . Hivyo ikiwa amemuona Oleg ,basi afisa huyu alipaswa kupita karibu na Oleg akiwa na mfuko ulioandikwa Harrod bags huku akila kipande Cha chocolate yenye logo ya mars bars au kit-kat. Baada ya hii signal kuwa received ilimaanisha Oleg baada ya siku tatu akate tiketi ya treni ya usiku inayoenda Hadi mji wa Leningrad Jiji la upili kwa ukubwa Russia, lililopo magharibi ya moscow. Akifika Leningrad hapo Oleg alipaswa kuchukua taxi Hadi kwenye kituo Cha treni zinazoenda Finland. Hapo ilimpasa kupanda treni Tena ya kwanza inayoelekea kwenye mji mwingine ulio karibu na bahari ya Baltic wa Zelenogorsk . Kisha akifika Tena hapo Oleg alipaswa kupanda basi linaloenda mpakani na Finland na kabla ya kufika mpakani ashukie njiani umbali kama wa maili 16 kabla ya kufika mji wa mpakani wa Vyborg. Hapo alipopaswa kushuka ndio rendezvous point au sehemu ya kukutana na makachero wa M16.
Kwa upande mwingine maafisa wa M16 wangepaswa kutoka Moscow kwa magari Yao yakiwa na diplomatic number plate ,Kisha walale Leningrad na waendelee na safari kesho yake . Na wangetegemea kufuatiliwa na makachero wa KGB kutokana na kuwa ni maafisa wa ubalozi . Hivyo wangepaswa kuwachanganya maafisa wa KGB wakiwa njiani kuelekea mpakani mwa Finland na wakikaribia rendezvous point wawakwepe maafisa wa KGB wanofanya patrol barabarani na Kisha wamchukue Oleg ambaye atakuwa amejificha kichakani sehemu Fulani hapo rendezvous point. Na hapo wangeanza safari ya kuelekea Finland.......... Hii plan ilipewa jina PIMLICO.

Sasa bwana Oleg akiwa nyumbani akitafakari na kuona sasa kama kifo kikimkaribia ,akaona Sasa afanye kitu aokoe maisha yake . Hii ni kutokana na plan ya kutuma signal kufeli. Hapo akakumbuka kichumba kidogo kama boksi kilichopo kwenye korido Moja ya nyumba yake Hiyo ilikuwa sio rahisi kujua kama kwenye ukuta huo wa korido Kuna kichumba kingine kidogo .. ilikuwa ni sehemu ya Siri sana kiasi kwamba hata kama kulikuwa na kamera zimewekwa ,sio rahisi kuonekana . Hapo alikuwa ameficha kikaratasi mfano wa cellophane chenye maelekezo yote kuhusiana na operation hii ya PIMLICO. Akakichukua hicho kikaratasi na kurudishia chumba hicho kama awali. Na hapo alianza kusoma maelekezo yote step by step. Na Kisha akalala nacho chini ya mto Ili ikitokea ghafla amevamiwa na maafisa wa KGB wanaomfuatilia aweze kukiharibu kwa haraka. Na kesho yake akayasoma maelekezo yote kwa umakini . Siku hii Oleg hakutaka kufanya mistake ,akajiandaa kwa ajili ya safari ya kwenda Hadi kwenye signal site . ambapo kulikuwa na duka la mkate Ili kuweza kutoa signal Tena kwa M16 . Majira ya jioni duka Hilo linakuwa limejaa watu wanofanya manunuzi ,wengine wakisoma magazeti huku wengine wakisoma ratiba za mabasi na treni .. ilikuwa ni sehemu iliyo bize sana . Hivyo akawa amesimama kwenye eneo ambalo angeweza kuona watu wengi kwa wepesi na muda huo yupo na mfuko wake wenye logo ya Safeway bags aliouweka baadhi ya vitu alivyonunua. Akiwa anavuta muda akaamua kuwasha sigara na kuendelea kuivuta Ili aweze kuona signal yoyote kutoka kwa Afisa wa M16 ambaye nae muda huo alipaswa awepo hapo kwa mujibu wa plan.
Kwa upande wa kikosi kazi Cha M16 hapo Moscow. Plan ilikuwa inaenda kama ilivyopangwa . Afisa Arthur gee naye alikuwa anaendesha gari kuelekea lilipo duka la mikate Kutuzovsky kwa ajili ya kununua mikate alipofika eneo Hilo akaangaza macho kutokana na eneo Hilo kuwa na watu wengi Ili aweze kumuona mtu aliyesimama akiwa amevalia suti ya grey na akiwa amebeba mfuko wa Safeway bag. Na kweli akamuona mtu amesimama akiwa na mfuko kwenye pavement za jengo hilo akiwa Hana uhakika kama ni yeye. Haraka akaamua kwenda kupaki gari kwenye maegesho. Kisha akashuka na kuelekea uelekeo alipomwona bwana yule aliyemwona akiwa amebeba mfuko wa ulioandikwa Harrod bags huku akiwa ameshika kipande Cha Chocolate kikiwa kwenye pakiti ya kampuni ya mars bars. Lakini kutokana na mwingiliano wa watu akiwa anaelekea duka la mikate aliendelea kuangaza macho na kweli akamuona jamaa Oleg akivuta sigara. Kutokana na maelezo ya plan hiyo hakuna sehemu ikielezea kama Oleg ni mvutaji sigara lakini kwa kugonganisha macho tu na akilinganisha na picha ya Siri aliyowahi kuiona aka confirm ni yeye. Naye Oleg akiwa Hana hili Wala Lile akamuona bwana gee akiwa anakula chocolate wakaangaliana . Na hapo signal ikawa acknowledged .Ni kwamba operation hii ikawa ipo active Sasa.
Baada ya hapo bwana Arthur gee akatuma ujumbe wa Siri kwa Roy Ascot ambao ni maafisa wenzake kuhusiana na signal iliyokwisha pita kati yake na Oleg Ili wajipange kwa ajili ya operation hii.

Kutokana na harakati hizi.. surveillance team ya KGB walimpoteza Oleg kama mara mbili hivi kwenye radar zao na haikujulikana ni kwanini na Sasa wakaazimia kuwa makini kuanzia Sasa Ili Oleg asiwapotee Tena machoni mwao. Lakini hii timu haikumjua Oleg ni nani vizuri , linapokuja swala la kuwakwepa ........
Hivyo ilipofika tarehe 17 July majira ya asubuhi Oleg alienda Hadi kwenye kituo Cha treni kilichopo maeneo ya komsomolskaya , na hapo akaenda benki iliyokuwa kituoni hapo kutoa kiasi Cha kama rubble 300 keshi. Kwenye kituo Cha treni hapo alikata tiketi kwa majina feki ya daraja la nne inayoanza safari Jioni ya saa 11 . Treni hii ilikuwa inaenda hadi Leningrad tarehe 19 July ijumaa. Kisha akarudi nyumbani.

Na maafisa wa Moscow wa M16 wakatuma ujumbe wa telegram tarehe 17 julai Hadi London kwamba Sasa operation PIMLICO ni active Sasa . Baada ya vikao kadhaa ndani ya M16 kuhusiana na operation hii ,ikaamuliwa kutumwa afisa martin shawford Hadi Copenhagen nchini Denmark kwa ajili ya kupata ushirikiano kutoka kwa shirika la kijasusi la nchi hiyo PET . Na Kisha aende Hadi mji wa Helsinki Finland kuandaa magari na ku survey eneo la rendezvous point karibu na mpaka wa nchi hiyo na Russia kwa ajili ya mtu wao mtarajiwa. Lakini kulikuwa na kipengele kimoja kwenye hii plan
Ni kwamba ikitokea Oleg amefanikiwa kuingia Finland haikumaanisha kwamba ndio atakuwa Salama . Kwa maana Finland ilikuwa na makubaliano ya kubadilishana wafungwa . Hivyo ikitokea Oleg akishtukiwa na mamlaka za Finland na kukamatwa ni dhahiri atarudishwa Tena Russia.
 
IMG_20230505_180942_821.jpg

Hili ni eneo ambalo Kuna duka la mikate iilikopaswa kutumwa signal . Na vilevile linaonesha nyumba za makachero wa M16 Mkabala na duka hilo
 
IMG_20230506_205136_626.jpg

Mchoro unaoonyesha rendezvous point au sehemu ya kukutana kati ya Maafisa wa M16 na Oleg karibu na mpaka wa Finland na Russia.

IMG_20230505_181158_659.jpg

Ramani nzima ya operation hii ya kumtorosha Oleg Russia kupitia Finland. Hapa inaonyesha route atakayotumia Oleg na pia route itakayotumiwa na makachero wa M16 Hadi mji wa mpakani kati ya Russia na Finland wa Vyborg.
 
West wote hawana uwezo wa kupambana full scale war na Urusi, hakuna ambaye anaweza kwenda front kupambana na Urusi

Hapo Ukraine wamejaza West wote lakini wameshindwa wanatumia mgongo wa Ukraine

Narudia hakuna West anayeweza kupambana na Urusi Moja kwa moja , Marekani Mwenyewe anaogopa

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app

Uko sahihi kabsaa kwa %age zote, Russia never lose any wars hata pale Afghanistan aliamua tu kuiacha sasa unakuta mapro Russia wanakwambia ooh ataloose kwa nani? USA ana paper economy akati Russia ana natural economy, iyo ndo nguvu ya Russia against West na USA.
 
Back
Top Bottom