Tarehe 19 Septembe TP Mazembe ana Mechi ya Ligi, Dar Wanakuja Kufanya Nini?

Tarehe 19 Septembe TP Mazembe ana Mechi ya Ligi, Dar Wanakuja Kufanya Nini?

Haina haja ya kurekebisha kama fulani anabaki pale pale wa 7 kutoka mkiani[emoji23][emoji23]
Haja ipo kwasababu rank ni zaidi ya usimba na uyanga. Kila timu inapaswa kuwekwa kwenye position yake iliyokuwa sahihi hiyo ndio maana ya rank
 
Wewe jamaa acha uongo Kaizer chiefs, as vita na Kabylie wapo juu ya Simba na pia Enyimba na Simba wapo sawa sawa point wote wana point 24. Kabylie ni wa 12 ana point 28, As vita ni wa 13 anapoint 26, Kaizer chiefs ni ya 14 inapoint 25. Enyimba ni ya 15 na Simba ni ya 16. Hiyo nduyo rank official ya CAF. Yanga ni ya 7 kutoka mwisho.
Embu na wewe tuwekee hapa iyo link anayoonyesha Yanga ni wa saba kutoka mwisho mwisho huko.Utopolo waone timu yao iko wapi!
 
Embu na wewe tuwekee hapa iyo link anayoonyesha Yanga ni wa saba kutoka mwisho mwisho huko.Utopolo waone timu yao iko wapi!
Rank ni hii hapa ambayo ilitolewa na CAF siku waliopanga mechi za awali na za raundi ya pili za michuano ya klabu bingwa na shirikisho.
 
Attachments

Rank ni hii hapa ambayo ilitolewa na CAF siku waliopanga mechi za awali na za raundi ya pili za michuano ya klabu bingwa na shirikisho.
Nimeiona na nimefurahi sana Simba kuwa nafasi ya 16,Inshallah Simba hii ilivyo makini na uongozi bora na kikosi bora msimu huu itapaa mpaka top 5.
Simba nguvu moja.
 
Umemsikia "Manara"? Amesema Mechi Inaisha Tarehe 12 hiyo ya Marudiano watawapeleka Yanga Princess. 😂 😂
Akili za kushikiwa na Manara! Eti Manara kasema! 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom