Tarehe 2 juni wafuasi wa CCM,CHAUMMA,ACT,CUF N.K Waruhusiwe kwenda kwenye kesi ya uhaini

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kama hii kesi ni ya public interest nategemea makundi mbalimbali ya kijamii kufika mahakamani kwenda kusikiliza kesi hii.
 
Hiyo kesi haina katazo kwa yoyote, usitake kutaja vyama kama vile ni kesi ya chama fulani. Kila mtu anatakiwa akaone jinsi mahakama zinavyotumika kupindisha haki hapa nchini.
 
Kama hii kesi ni ya public interest nategemea makundi mbalimbali ya kijamii kufika mahakamani kwenda kusikiliza kesi hii.
Akili za kisisiemu au Chauma baada yakushiba ubwabwa
 
Kama hii kesi ni ya public interest nategemea makundi mbalimbali ya kijamii kufika mahakamani kwenda kusikiliza kesi hii.
Watakuwepo😀😀😀
20250523_170102.jpg
1747960478097.jpg
 
Kama hii kesi ni ya public interest nategemea makundi mbalimbali ya kijamii kufika mahakamani kwenda kusikiliza kesi hii.
Kuna mfuasi yeyote kakatazwa kwenda mahakamani kusikiliza hiyo kesi?
 
Back
Top Bottom