Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

Bueno

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2022
Posts
34,600
Reaction score
59,760
Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stellenbosch.

Mods naomba nieleweke nimesema Simba akimfunga Stellenbosch goli 3 kavu yaan 3-0 nipigwe ban miaka 3, najua uwezo huo wa kumfunga Stellenbosch Simba hana.
 
Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stollenbosch.

Tarehe 27.04.2025 ni rematch Simba anaenda tena kunyolewa nyumbani kwa Stollenbosch najua Simba anaenda kufa 3 kavu.

Mods naomba nieleweke nimesema Simba akimfunga Stollenbosch goli 3 kavu yaan 3-0 nipigwe ban miaka 3, najua uwezo huo wa kumfunga Stollenbosch Simba hana.
Ahadi ya kitoto sema tukupakue wewe au mkeo
 
Si una washwa washwa. Juz ulikoswa moja tu sasa tuachane na adhabu za ban
Mpaka ufungwe ndio akili zinakurudia hii hamchomoki lazima mfe goli za kutosha
 
Back
Top Bottom