Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

Nimeota ndoto ya kijinga sana eti tumefungwa 4-0 kwa Mkapa, ndoto nyingine hazina adabu kabisa.
 
Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stollenbosch.

Mods naomba nieleweke nimesema Simba akimfunga Stollenbosch goli 3 kavu yaan 3-0 nipigwe ban miaka 3, najua uwezo huo wa kumfunga Stollenbosch Simba hana.
Watu wa makundi mnapata tabu Sana na Simba. Lengo la Simba ni kufika fainali siyo kushinda 3-0, hao siyo Tabora united.
 
Paw weka hii utopolo kwenye orodha, usiisahau.
 
Watu wa makundi mnapata tabu Sana na Simba. Lengo la Simba ni kufika fainali siyo kushinda 3-0, hao siyo Tabora united.
Ndio nmesemaje uwezo huo Simba hana
 
Tatizo lenu mnakuwa na ID zaidi ya Moja,
Mkibanwa huku mnaibukiwa kwnye ID ingine..
 
Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3
Kwa nini umechagua 3-0 wakati ni mechi ya kwanza? Kwani CAF ina kanuni inayosema Simba wanahitajika kushinda 3-0 mechi ya kwanza ili wasonge mbele? Mzee wa kanuni, tutajie hiyo basi 🤣
 
Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stollenbosch.

Mods naomba nieleweke nimesema Simba akimfunga Stollenbosch goli 3 kavu yaan 3-0 nipigwe ban miaka 3, najua uwezo huo wa kumfunga Stollenbosch Simba hana.
Timechoka na huu upuuzi wa kutafuta umaarufu laini,Uzi uliopita ulisemaje? Toeni utoto. mmeathirika na betting
 
Kwa nini umechagua 3-0 wakati ni mechi ya kwanza? Kwani CAF ina kanuni inayosema Simba wanahitajika kushinda 3-0 mechi ya kwanza ili wasonge mbele? Mzee wa kanuni, tutajie hiyo basi 🤣
Kitendo cha kusema tushinde 3-0 inaonyesha kwamba anajua kuwa simba itashinda,ila anajaribu kuweka kikwazo cha goli hizo 3

Atuache aisee
 
Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stollenbosch.

Mods naomba nieleweke nimesema Simba akimfunga Stollenbosch goli 3 kavu yaan 3-0 nipigwe ban miaka 3, najua uwezo huo wa kumfunga Stollenbosch Simba hana.
Stollenbosch kama ulivyoandika wamekuwa miamba ya kandanda Kwa Madina toka lini ?Wanamakombe mangapi SPL?or Ned Bank?Ukijibu hayo maswali jiulize mtoto wako akifuata akili zako atakuwa vipi?
 
Uwezo huo hamna
Ila Mkuu bana hutaki hata mikia wapumue na post zako. 🤣🤣

Hapa karibia wote wamesave huu uzi kwa matumizi ya baadae mana wanakujaga kama nyuki kutaka mtu apigwe ban aliyoiomba. 😃
 
Back
Top Bottom