CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
WEWE NI KUROPOKA UPUMBAVU TU
BAN INAKUSAIDIA NINI??????????
UMEKOSA MAMBO YA MAANA YA KUANDIKA????
BAN INAKUSAIDIA NINI??????????
UMEKOSA MAMBO YA MAANA YA KUANDIKA????
Upo sahihi.Itabidi mipira ibebwe mikononi na kudumbukizwa nyavuni kwa nguvu.Nimesemaje Simba uwezo wa kumfunga Stellenbosch hana
Mim sio ila aliendika huo Ujinga hapo juuVilaza km wewe kilaza
Mtu anajiita Ziro yaani sifuri atatoa wapi hoja zenye akili?Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stollenbosch.
Mods naomba nieleweke nimesema Simba akimfunga Stollenbosch goli 3 kavu yaan 3-0 nipigwe ban miaka 3, najua uwezo huo wa kumfunga Stollenbosch Simba hana.
Unaandika kwa uchungu sana.Hivi vyura npo kombe gani kimataifa?Ndio hapo utajiuliza siku hio mkikandwa
Unaandika kwa hasira, uchungu,wivu na kuchanganyikiwa.FYI;Timu zote zinazokutana na Simba wanatetemeka sana na kutojua dhahma itakayowakuta.Mola akurehemu sana.Chuuuuuuraaaaaa aka utopolo.Majina yamewakaa vema sana.Wewe subiri ukandwe
Kila la heri mkuuNmerudi tena kukichafua unasemaje kolo
Subiri ukandwe mkishakandwa ndio mtaongea vizuri sasa hivi elewa tu Stellenbosch haji kucheka na kima mtachapwa mshangaeUnaandika kwa hasira, uchungu,wivu na kuchanganyikiwa.FYI;Timu zote zinazokutana na Simba wanatetemeka sana na kutojua dhahma itakayowakuta.Mola akurehemu sana.Chuuuuuuraaaaaa aka utopolo.Majina yamewakaa vema sana.
Laban naona umebadilisha idNdio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stollenbosch.
Mods naomba nieleweke nimesema Simba akimfunga Stollenbosch goli 3 kavu yaan 3-0 nipigwe ban miaka 3, najua uwezo huo wa kumfunga Stollenbosch Simba hana.
Subiri mahojiano yatakayofanywa kwa hao Stellenbosch ndiyo utajua ulikuwa hujui kuogelea ukiwa umevaa suti.Subiri ukandwe mkishakandwa ndio mtaongea vizuri sasa hivi elewa tu Stellenbosch haji kucheka na kima mtachapwa mshangae
Wee chura,subiri muandaliwe mechi na Saranda United.Kimataifa hamuwezi siku zote.Tulia.Mimi sio Labani og